Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu ya kujitokeza kushiriki zoezi hilo ambapo wamesema kuwa bila ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa wanaowataka hawawezi kupata maendeleo.". 🤣🤣
Wamekwisha chagua mara ngapi na wana maendeleo gani 🤔