Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu.
Rais Samia Suluhu akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita