Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani wanatumia sheria tofauti ?Kwa Msumi mjumbe ni dili....haya ni makazi mapya....raia wako bize..kutoka alfajiri kurudi giza...unakutana na barua ya mchango wa barabara....mchango wa umeme....mchango wa maji....mchango wa ulinzi shirki..na kadhalika wa kadha
Msumi ni kisiwa cha maudhi...Kuna idadi kubwa ya watu lakini hakuna serikali.Kwani wanatumia sheria tofauti ?
Bila shaka wakazi wake ni duni sanaMsumi ni kisiwa cha maudhi...Kuna idadi kubwa ya watu lakini hakuna serikali.
Kuna majumba ya kifahari yamejengwa huwezi kuamini ...upande wa kushoto inapakana na kitongoji cha Mbopo na msitu wa pandeBila shaka wakazi wake ni duni sana
Pelekeni upuuzi wenu huko, mnatuletea habari ya Mjumbe wa Shina inatuhusu nini sisi Wananchi ambao si wana CCM?Sisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake vibaya.
Alhamisi iliyopita tulifanya kikao cha Wananchi pamoja viongozi wa Mtaa pamoja na CCM ambao ndio wamempa nafasi hiyo, tumewasilisha malalamiko yetu na wakasema watayafanyia kazi lakini mpaka leo Machi 12, 2024 hakuna kilichojibiwa.
Baadhi ya manyanyaso ambayo amekuwa akituhumiwa ni kuingia ndani ya nyumba za watu bila utaratibu, anatamba hakuna wa kumfanya kitu chochote kwa kuwa yeye ndio Serikali, amekuwa akichukua mali za watu kwa nguvu, mfano hivi karibuni alimpora mtu pikipiki kwa kutumia cheo chake.
Malalamiko haya nyafikisha hapa kwa kuwa kama hatua hazitachukuliwa tumekubaliana kuwa tunaweza kurudisha kadi za Uanachama kwa kuwa CCM wakiendelea kumuacha inamanisha wanaridhia tuendelee kunyanyasika.
We nawe sisi tunakataa wakule juu we unaleta habari za mjumbe? Hili jukwaa nikubwa mmno kujadili mjumbe huyo mjadilini huko mitaani kwenu Acha ushamba Dar!Sisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake vibaya.
Alhamisi iliyopita tulifanya kikao cha Wananchi pamoja viongozi wa Mtaa pamoja na CCM ambao ndio wamempa nafasi hiyo, tumewasilisha malalamiko yetu na wakasema watayafanyia kazi lakini mpaka leo Machi 12, 2024 hakuna kilichojibiwa.
Baadhi ya manyanyaso ambayo amekuwa akituhumiwa ni kuingia ndani ya nyumba za watu bila utaratibu, anatamba hakuna wa kumfanya kitu chochote kwa kuwa yeye ndio Serikali, amekuwa akichukua mali za watu kwa nguvu, mfano hivi karibuni alimpora mtu pikipiki kwa kutumia cheo chake.
Malalamiko haya nyafikisha hapa kwa kuwa kama hatua hazitachukuliwa tumekubaliana kuwa tunaweza kurudisha kadi za Uanachama kwa kuwa CCM wakiendelea kumuacha inamanisha wanaridhia tuendelee kunyanyasika.
Pumbavu kabla ya kufanya push back unakimbilia JF kulalama,uoga huu utakutoka lini?jawabu la tatizo hili lipo hapo hapo sio humu,after all mjumbe wa ccm hana mamlaka ya kiutendaji wa kiserikaliSisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake vibaya.
Alhamisi iliyopita tulifanya kikao cha Wananchi pamoja viongozi wa Mtaa pamoja na CCM ambao ndio wamempa nafasi hiyo, tumewasilisha malalamiko yetu na wakasema watayafanyia kazi lakini mpaka leo Machi 12, 2024 hakuna kilichojibiwa.
Baadhi ya manyanyaso ambayo amekuwa akituhumiwa ni kuingia ndani ya nyumba za watu bila utaratibu, anatamba hakuna wa kumfanya kitu chochote kwa kuwa yeye ndio Serikali, amekuwa akichukua mali za watu kwa nguvu, mfano hivi karibuni alimpora mtu pikipiki kwa kutumia cheo chake.
Malalamiko haya nyafikisha hapa kwa kuwa kama hatua hazitachukuliwa tumekubaliana kuwa tunaweza kurudisha kadi za Uanachama kwa kuwa CCM wakiendelea kumuacha inamanisha wanaridhia tuendelee kunyanyasika.
Achukue maamuzi magumu kama bodaboda walivyolifanya basi la saibaba halafu baadae mje kumkana humu?Pumbavu kabla ya kufanya push back unakimbilia JF kulalama,uoga huu utakutoka lini?jawabu la tatizo hili lipo hapo hapo sio humu,after all mjumbe wa ccm hana mamlaka ya kiutendaji wa kiserikali
No waliotoa comments hasi kuhusu wale bodaboda waliochoma moto lile bus ni mazuzu yenye uoga wa kipumbavu,mabus yote sasa yana respects bodaboda wa lile eneo,wakiingia kwenye kile kipande cha tukio mwendo wao unakua wa speed limits,push push push back unapoona haki yako inadhulumiwa na sio kukimbilia humuAchukue maamuzi magumu kama bodaboda walivyolifanya basi la saibaba halafu baadae mje kumkana humu?
Hapa ndipo CHADEMA mnapofeli.Kwa mujibu wa sheria za Tanzania Mjumbe wa shina wa ccm hana mamlaka yoyote katika lolote lile popote pale , inakuwaje mnakubali huo ujinga nyie?
Weka kifungu cha sheria kwenye katiba kinachowapa mamlaka Wajumbe wa nyumba 10Hapa ndipo CHADEMA mnapofeli.
Toka zamani mnaambiwa kwamba chama chenu hakijafika mashinani.
Kuna wakati mlikuja na sera ya CHADEMA NI MSINGI ikilenga kukipeleka chama ngazi ya shina lakini baadaye mkaiacha na kuja na JOIN THE CHAIN.
Sasa kama mlikuwa hamjui, hao wajumbe wana mamlaka halali na wanatambulika nchi nzima kwa sababu tunaishi nao.
Sasa ninyi CHADEMA mtapinga kwa kuwa ni kawaida yenu ila siyo uhalisia.
Nitaweka.Weka kifungu cha sheria kwenye katiba kinachowapa mamlaka Wajumbe wa nyumba 10
Nataka nafasi ya wajumbe wa mashina ya ccm kwenye katiba ya Nchi , nafahamu kuhusu wajumbe wa serikali ya mtaa , maana wanachaguliwa na wananchi , tuwekee hao wajumbe wa nyumba 10Nitaweka.
Katiba inatambua Mamlaka za Serikali za Mitaa, ambapo Bunge lilitunga Sheria namba 87 (Mamlaka za Wilaya), sheria namba 88 (Mamlaka za Miji), pia kuna Sheria ya Fedha ya Serikali za Mitaa.
Mfumo wa Serikali za Mitaa unaanzia Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Mtaa/Kijiji hadi Kitongoji.
Kwa kesi ya Msumi, hao wajumbe ndiyo wasaidizi wa Mtendaji wa Mtaa ambapo wao ndiyo huchakata taarifa na kuzipeleka kwa Mtendaji na kuendelea.View attachment 2935361
Wale wapo kwa mujibu wa sheria ya Bunge, siyo Katiba?Nataka nafasi ya wajumbe wa mashina ya ccm kwenye katiba ya Nchi , nafahamu kuhusu wajumbe wa serikali ya mtaa , maana wanachaguliwa na wananchi , tuwekee hao wajumbe wa nyumba 10
Nilijua utakwama tuWale wapo kwa mujibu wa sheria ya Bunge, siyo Katiba?
Wewe unaweza kunitajia kwenye Katiba ya Tanzania kifungu kinachokitaja CHADEMA?