A
Anonymous
Guest
Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za ruzuku kwa mfano mbolea nyingi anatuuzia za ruzuku kwa bei ya juu na hata mbegu za mahindi ukikwangua vocha haisomeki kuwa mbegu imekaguliwa.
Kuna siku walikuja watu kutoka wilayani tukajaribu kukwangua wakiwepo na wao vocha haikuwa sahihi kwa maana hiyo, mahindi sio halali na wakasitiliana, hakuna hatua zilizochukuliwa na hakukuwa na majibu mazuri yaliyotolewa.
Kuna miradi inayokuja kwa manufaa ya wanakijiji kuhusu kilimo, anatafuta watu wake tu wengine hawashirikishwi, naomba hii kero tuwasilishiwe kwenye wizara ya kilimo.