Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao.
Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza, apelekwe hospitali harakati ziendelee. Haina kusimama hadi isimame hiyo.
Uliepo nyumbani toka usaidie kuongeza nguvu, polisi alfu 20 hawawezi kutushinda.