Emmanuel gubabu
Member
- Sep 24, 2024
- 13
- 28
Wananchi Tuna kisasi na Al hilal lakini katika kisasi hiko TP mazembe ana kisasi na sisi dah hapo patachimbika balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi wa nchi wanapotokea mbumbumbu fc aka kolotanozdadi.wananchi wa nchi gani mkuu
Kufikia Leo umekusanya kiasi gani mkuu maana maana una mawazo mafupi kweli unazani kila anae ongelea mpira Basi maisha yako magumuMaendeleo Tanzania ni Ngumu sana, mimi nina kisasi na Umaskini
Subiri uone mkuu mda badoYanga ndio mwisho wake ni makundi,Nipo Hapa
Ramli bila ubani mashitaka sizani kama utafanikiwa Ustadhi.Yanga ndio mwisho wake ni makundi,Nipo Hapa
Kisasi kwa nani msababishiMaendeleo Tanzania ni Ngumu sana, mimi nina kisasi na Umaskini
Hujawahi ifunga team moja hapo mara 2.Subiri uone mkuu mda bado
Kama matokeo yangekuwa hivi Yanga angekuwa na pointi ngapi hapo?Hujawahi ifunga team moja hapo mara 2.
AL HILAL -Draw 1-1 Home Away Ukala kimoja ukadondokea Shirikisho.
Mazembe -Ukamfunga home and Away ukapita. 3-1 away 0-1
MC alger mara ya mwisho umekutana nae Alikufunga 4-0 Away ukashinda 1-0 Home
SASA WE MPUMBAVU UNAZUNGUMZIA HISTORIA SIO YANGA YA SASA, HIVI MTAACHA LINI UPUMBAVU WAKUFIKIRI? YANI NA UPUMBAVU WAKO UNAZUNGUMZIA YANGA YAMSIMU ULE, UNADHANI HAYO MATUKIO YATAJIRUDIA KWA YANGA YA SASA?Hujawahi ifunga team moja hapo mara 2.
AL HILAL -Draw 1-1 Home Away Ukala kimoja ukadondokea Shirikisho.
Mazembe -Ukamfunga home and Away ukapita. 3-1 away 0-1
MC alger mara ya mwisho umekutana nae Alikufunga 4-0 Away ukashinda 1-0 Home
Bado unatumia historia za miaka ileeHujawahi ifunga team moja hapo mara 2.
AL HILAL -Draw 1-1 Home Away Ukala kimoja ukadondokea Shirikisho.
Mazembe -Ukamfunga home and Away ukapita. 3-1 away 0-1
MC alger mara ya mwisho umekutana nae Alikufunga 4-0 Away ukashinda 1-0 Home
Historia ndio imeamua wewe ukae pot 2 ,usiikatae.Bado unatumia historia za miaka ilee
Matusi sio lugha nzuri ya kimpira.SASA WE MPUMBAVU UNAZUNGUMZIA HISTORIA SIO YANGA YA SASA, HIVI MTAACHA LINI UPUMBAVU WAKUFIKIRI? YANI NA UPUMBAVU WAKO UNAZUNGUMZIA YANGA YAMSIMU ULE, UNADHANI HAYO MATUKIO YATAJIRUDIA KWA YANGA YA SASA?