Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaNani atawachunguza hawa? Ni bora zaidi watoke nje ya jeshi hilo.
Tazama Magereza Major General Mzee
Amefanya Yanayotakiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaNani atawachunguza hawa? Ni bora zaidi watoke nje ya jeshi hilo.
Hao wajumbe wamesahau fadhila wanazopewa na jeshi hilo?Je tutarajie mabadiliko kwenye jeshi hilo ?
Mkuu 'Bams', (omba?) dai KATIBA mpya.Kwa katiba yetu, ni mtu mmoja tu, hubadili mfumo mzima. Mkiwa na Rais katili, kila chombo cha serikali huwa katili. Mkiwa na Rais muungwana, kila chombo kinabadilika.
Rais Samia, tunakuomba ulibadilishe jeshi la polisi kutoka kwenye ukatili kwenda kqenye ustaaabu na utu. Ustaarabu ni kufuata taratibu na sheria.
Fumua Jeshi lote mwanzo mwisho vinginevyo ni danganya toto tu, na kufanya reforms muhimu katika ngazi zote.Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.
Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata Mwongozo wao wa kisheria (PGO).
Shaka Hamdu Shaka amezungumza hayo alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari kuhusu kikao hicho cha CCM kilichofanyika jana.
Akiongea na waandishi leo Machi 12, 2022, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amesema ‘’Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imeielekeza Serikali kuangalia upya mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini ambao umekuwa hauridhishi na kulalamikiwa na wananchi kutokana na matendo yanayofanywa na baadhi ya maofisa na askari wa Jeshi hilo kinyume na muongozo wa kazi za Jeshi la Polisi"
Kwamba kamati kuu ya ccm inayosimamiwa na SSH imeiagiza serikali inayosimamiwa na SSH kuichunguza Tanpol ambayo mkuu wake ni mteule wa SSH.Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.
Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata Mwongozo wao wa kisheria (PGO).
Shaka Hamdu Shaka amezungumza hayo alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari kuhusu kikao hicho cha CCM kilichofanyika jana.
Akiongea na waandishi leo Machi 12, 2022, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amesema ‘’Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imeielekeza Serikali kuangalia upya mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini ambao umekuwa hauridhishi na kulalamikiwa na wananchi kutokana na matendo yanayofanywa na baadhi ya maofisa na askari wa Jeshi hilo kinyume na muongozo wa kazi za Jeshi la Polisi
hapo hapo CCM inayoongozwa na Mwenyekiti inaiagiza serikali inayoundwa na CCM na kuongozwa na Rais ambaye ndiye huyo huyo mwenyekiti wa CCMTuache unafiki ipo siku haki itapatikana. Polisi ni mtaji wa ccm na ccm imeunda serikali halafu serikali iwachunguze polisi !!!, acheni kudanganya watu.
Hii ndio sababu iliyonisukuma kuleta uzi huuKwamba kamati kuu ya ccm inayosimamiwa na SSH imeiagiza serikali inayosimamiwa na SSH kuichunguza Tanpol ambayo mkuu wake ni mteule wa SSH.
Ujinga mtupu!
Tunacheleweshana wenyewe!!
Siro na polisi wake kadhaa watawajibishwa lakini bila #Katiba_Mpya! tutarudi kwenye shimo hilo hilo.
Yaani hapo ndo destination hakuna kingine. Kwa sababu uongozi unataka sisi raia tuupende wanauzunguka mbuyu mpaka raia waseme. Lakini hawajuhi kwamba jeshi la polisi limeridhi tamaduni za jeshi la mkoloni na mafundisho yote yanaegemea kwenye experience ya kikoloniAnatafutwa Siro hapo
Ukisumbua geshi ra porisi lazima upigwe tu hakuna namna!
Waache kujikosha. Hilo jeshi linawatumikia wao. Wamelilea hivohivo.Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.
Inadaiwa Maofisa wa Polisi hawaaminiki na wanaonekana kutenda majukumu yao bila kufuata Mwongozo wao wa kisheria (PGO).
Shaka Hamdu Shaka amezungumza hayo alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari kuhusu kikao hicho cha CCM kilichofanyika jana.
Akiongea na waandishi leo Machi 12, 2022, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amesema ‘’Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imeielekeza Serikali kuangalia upya mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini ambao umekuwa hauridhishi na kulalamikiwa na wananchi kutokana na matendo yanayofanywa na baadhi ya maofisa na askari wa Jeshi hilo kinyume na muongozo wa kazi za Jeshi la Polisi"
KatibaHiyo Kamati Kuu ya wanafiki hilo jeshi la polisi likifanya kazi kwa manufaa ya CCM kwa kuwaumiza wapinzani mbona huwa hawaagizi lichunguzwe?
Waambie ukweli, ushirikiano haramu uliopo kati ya jeshi la polisi na CCM ndio chanzo cha wananchi kutoliamini hilo jeshi, imani ya wananchi itaanza kurudi kwa jeshi endapo polisi wataanza kufanya kazi kwa weledi na kuacha ushabiki wa kisiasa.
Am. B eNi muda sasa tuone Kingai na wenzake wakipandishwa kizimbani.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na Jeshi hilo.