B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 22, 2021 #1 Hii clip inajieleza: Your browser is not able to display this video. Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
Hii clip inajieleza: Your browser is not able to display this video. Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
famicho JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,191 Reaction score 2,857 Dec 22, 2021 #2 Daaah awamu ya 5 ingekuwa tayari washapigwa shangazi wa Majaliwa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 22, 2021 Thread starter #3 famicho said: Daaah awamu ya 5 ingekuwa tayari washapigwa shangazi wa Majaliwa Click to expand... Watu hufika wakati wakawa sugu. Kila siku na lake, jana si leo.
famicho said: Daaah awamu ya 5 ingekuwa tayari washapigwa shangazi wa Majaliwa Click to expand... Watu hufika wakati wakawa sugu. Kila siku na lake, jana si leo.