Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii clip inajieleza:

Your browser is not able to display this video.


Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu.

Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane!

Haki ni zetu sisi.

Heshimuni matakwa ya watu.
 
Daaah awamu ya 5 ingekuwa tayari washapigwa shangazi wa Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…