MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,258
- 6,815
Duh, yani watu wanalazimishwa kabisa kujitokeza na wakuu wa idara kuagizwa kuchukua mahudhurio..! Sasa kama watumishi wengi wanaridhika na utendaji wa rais si watajitokeza kwa wingi tu jamani bila hata kupigwa mikwara....?Na kwa maagizo ya aina hii lazima wapate washiriki wengi
mambo mengine haya buana yani basi tu