Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Maandamano si gamekatazwa!!!? Wanepata wapi haki ya kuandamana?
 
Punguza povu dada,aliesoma au anaejielewa huwa hatoi mapovu,onesha basi usomi na ukomavu wako kwa kujibu kistaarabu hata unapochokozwa!!
Chadema hawana moral authority ya kuzungumzia katiba ya nchi wakati ya kwao ni matatizo matupo na hawaifuati,watu kama hawa wakipewa dola,wataharibu kila kitu
Wewe unapo ongelea na matatizo ya chadema na chama chao na katiba yao mimi naongelea taifa na katiba ya nchi sasa sijui kwa akili yako ilivyo unaona mada hzo zinapimika katika mzani mmoja!!
 
Back
Top Bottom