Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Hivi chadema imeshaanza itambua twaweza?
Kwani kila jf ni chadema??? Mashinji alishasema wamepuuziwa utafiti wao ssa kivp chadema wameukubali

Anyway tukiukataaga mnasema utafiti hupingwa kwa utafiti tukiukubali ooooh toka lini mnautambua ssa wapinzani wafanyeje??? Reason basi
 
mods mbona mmeharibu huu uzi,acheni uoga kwa nini mmebadilisha title ya hii thread?? kama vip futeni kabisa huu uzi
 
kwani katibabya chadema mnaijua, mbona cheyo ni mwenyekiti tangu chama chake kianze hammsemi, labda ni katiba yao, unataka katiba ya kila chama ifanane na ya ccm, zwazwa kweli wewe, dovutwa nae mwenyekiti, tlp mrema the same, mbona hamuwasemi hao
Punguza povu dada,nimetaja chadema kama mfano lakini wote mpo kwenye boti moja.Toa kwanza bori kwenye jicho lako dada
 
Habar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!

My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia.

======

Jaji Warioba aongoza wazee kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli mkoani Mara.

Waziri mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba ameongoza wazee wa kijiji cha Nyamuswa wilayani Bunda mkoani Mara kuunga mkono juhudu kubwa zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt.John Pombe Magufuli katika kulinda rasilimali za taifa huku akiwataka watanzania kuungana pamoja katika mapambano dhidi ya maslahi ya taifa.

Wakizungumza mbele ya mkuu wa wilaya ya Bunda Bi. Lyidia Bupilipili,wazee na wananchi hao wa kijiji cha Nyamuswa,wamempongeza Rais John Pombe Magufuli katika kutetea rasilimali za Umma hasa katika uwekezaji mkubwa katika sekta ya elimu na hivyo kuwandolea kero ya michango ambayo ilisababisha kushuka kwa elimu katika eneo hilo.

Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Bunda Bi.Lyidia Bupilipili, akizungumza baada ya kupokea tamko hilo la wazee na wananchi wa kijiji cha nyamuswa kwa niaba ya Rais, amesema ni jukumu la kila mtanzania kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Rais John Pombe Magufuli hasa katika kutetea wanyonge.

Chanzo: ITV
Hii nchi tumekua wehu kabisa au sijui tumerogwa na nani! Yaani Raisi anatimiza wajibuwake eti watu wanaandamana.

Ina maana hao maraisi wengine walikuwa hawafanyi kazi? Au huyu Raisi ametoka chama kingine ambacho ndo chenye hizi sera anazozitekeleza?
 
Katika ya chama na katiba ya nchi ni vitu viwili tofauti kabisa tatizo shule huna ujinga umekujaa kichwan hivyo hata hujui kuwa hivyo ni vitu viwili tofauti.
Nashukuru wewe kwa kupata shule ya chupi,sasa chama chako kikipata dola utaacha madaraka wewe?
Unajificha katika katiba ya nchi wakati ya kwako imeoza na hutaki iguswe.Toa kwanza boriti kwenye jicho lako
 
Hizo katiba za vyama hazituhusu, ndio maana mlivyobadili ile ya ccm hatukuwalaumu. kama hujui kwa sasa mwenyekiti wenu 2020 hatakuwa na mpinzania tofauti na halo nyuma
Acha uzwazwa wewe.Kama wewe hufuati katiba ya chama chako na hutaki iguswe,tukikupa dola si itakuwa hatari kabisa
 
Ni kweli usemayo hata mm nakubali Mbowe kachemka. Ila huko cdm kama hukubaliani na hilo unaweza kuhama chama au kuanzisha cha kwako kama Zito. Je kwenye nchi? Kweli unaweza fananisha katiba ya nchi na ya cdm? You can't be serious.
Sasa kama katiba ya chama tuache tu ichezewe ,je wakipewa nchi itakuaje.
Wanatakiwa kwanza waondoe kinyesi kwenye chama chao,hapo ndipo wanaweza kutembea kifua mbele kuwa wanaweza kuaminiwa kupewa dola.Hatuwezi kuwapa dola wahuni hawaheshimu hata katiba yao wenyewe
 
Yaani ccm walicho kipigania nje na ndani ya bunge, kikapitishwa kwanguvu na kwa kuwatusi wapinzani waliokuwa wanayapinga yaho mambo, leo hii Raisi anaamua kuyabatilisha kwakuwa anona ulikua ulofa na wizi.

Tena wao hao wanaingia barabarani kuandamana na kumpongeza raisi? Kwalipi sasa? Au wamechanganyikiwa au hawajui wanacho kifanya?
 
Mm nauliza tangu lini MTU anaandama kumpongeza mtu anaetimiza wajibu wake? Mbona watanzania hawajandamana kupongeza madaktar,walimu wanaotibu na kuwatoa ujinga kichwani? HIV watz hawajui kuwa urais ni kazi na anaripwa mshahara? Na hiyo ni moja ya majukumu kulinda rasilimamali za nchi?
 
Sasa kama katiba ya chama tuache tu ichezewe ,je wakipewa nchi itakuaje.
Wanatakiwa kwanza waondoe kinyesi kwenye chama chao,hapo ndipo wanaweza kutembea kifua mbele kuwa wanaweza kuaminiwa kupewa dola.Hatuwezi kuwapa dola wahuni hawaheshimu hata katiba yao wenyewe

Ww huna cha kupoteza, wanapochezea katiba yao ndio faida ya chama chako kukaa madarakani na wao kupotea kisiasa. Wananchi watawapima, wakiona hata katiba yao hawaiheshimu basi watawapuuza.

Na sio kwamba hili unalosema ww hawajaliona bali ni upuuzi uleule wa viongozi wote wa kiafrika kujali nafasi zao binafsi kuliko uwezo wa taasisi/katiba.
 
Rwanda wanaishi kwa raha sana! PK aliongeza miaka ikwa saba,vipindi vitatu! Na akitoka madarakani anarudish vipindi viwili miaka mitano mitano. Hizi nchi zetu ukiwa laizerfair leader utavuna mabua. Jk alisema pesa za escrow sio za umma il leo tumeambiwa ni za umma kuna tofauti kubwa sana kati rais mwenye uchungu na nchi na rais mwenye uchu na nchi!
Raha ipi ipo rwanda?
 
Habar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!

My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Maandamano yameruhusiwa rasmi?
Yaliyokatazwa ni yale yaliyokuwa na lengo la kufanya uchochezi hususani ya UKUTA kwani yangepelekea uvunjifu wa amani.

Haya maandamano ya sasa yana lengo la kushinikiza Acacia watulipe trillion zetu za makinikia na kutupilia mbali mikataba mibovu ya uchimbaji madini. Halafu maandamano haya hayana vyama vya kisiasa, ni ya mwananchi yo yote.
 
Hapana,hayo maandamano ni ya kumsifia JPM!
 
Yaliyokatazwa ni yale yaliyokuwa na lengo la kufanya uchochezi hususani ya UKUTA kwani yangepelekea uvunjifu wa amani.

Haya maandamano ya sasa yana lengo la kushinikiza Acacia watulipe trillion zetu za makinikia na kutupilia mbali mikataba mibovu ya uchimbaji madini. Halafu maandamano haya hayana vyama vya kisiasa, ni ya mwananchi yo yote.
Maandamano ya kupinga udikteta yanavunjaje amani???Tena hayo ndiyo ya muhimu kuliko hayo ya kusifia!!!!
Halafu unaposema maandamano hayo hayana vyama vya siasa,una maana maandamano yenye vyama vya siasa ni haramu?
Nijuavyo mimi,wanayoyaratibu kwa kila ngazi ni makada wa ccm(RC'S)!Tumeona huko Iringa watumishi wakipewa amri ya kuandamana!Huu ni upuuzi!
 
Nashukuru wewe kwa kupata shule ya chupi,sasa chama chako kikipata dola utaacha madaraka wewe?
Unajificha katika katiba ya nchi wakati ya kwako imeoza na hutaki iguswe.Toa kwanza boriti kwenye jicho lako
Unadhani mie naishi kwa hisani ya kushikwa tako kama wewe mkuu!!!sisifii upumbavu wala ujinga maana Nina timamu kichwan najua tofauti kati chama na serikali na ninajua uzito wa kila kimoja na na nina jua mbivu na mbichi na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi husianisha katiba ya chama na ya serikali ni vichaa tu kama wewe ndio mnao ona katiba ya nchi na ya chama zina uzito sawa kwasababu sifa yenu kuu ni kujua kusoma na kuandika na ndio tatizo linalo wasumbua ndio maana mnaunga mkono hata mambo ya kupumbavu maana hamna akili vichwani na hakuna mnalo lielewa zaid ya ushabiki na umbumbumbu.
 
Yaliyokatazwa ni yale yaliyokuwa na lengo la kufanya uchochezi hususani ya UKUTA kwani yangepelekea uvunjifu wa amani.

Haya maandamano ya sasa yana lengo la kushinikiza Acacia watulipe trillion zetu za makinikia na kutupilia mbali mikataba mibovu ya uchimbaji madini. Halafu maandamano haya hayana vyama vya kisiasa, ni ya mwananchi yo yote.

Katafute watoto uwaambie huu upuuzi ulioandika hapa. Haya ni maandamano ya wanaccm kwa kigezo cha kuunga mkono maigizo ya mwanaccm mwenzao. Mikataba ya 4% unaandamana wakati hata kuibadili bado. Kwann wwsingoje mpaka ibadilishwe ndio wajue tunafaidika nini?
 
Unadhani mie naishi kwa hisani ya kushikwa tako kama wewe mkuu!!!sisifii upumbavu wala ujinga maana Nina timamu kichwan najua tofauti kati chama na serikali na ninajua uzito wa kila kimoja na na nina jua mbivu na mbichi na kwa mtu mwenye akili timamu hawezi husianisha katiba ya chama na ya serikali ni vichaa tu kama wewe ndio mnao ona katiba ya nchi na ya chama zina uzito sawa kwasababu sifa yenu kuu ni kujua kusoma na kuandika na ndio tatizo linalo wasumbua ndio maana mnaunga mkono hata mambo ya kupumbavu maana hamna akili vichwani na hakuna mnalo lielewa zaid ya ushabiki na umbumbumbu.
Punguza povu dada,aliesoma au anaejielewa huwa hatoi mapovu,onesha basi usomi na ukomavu wako kwa kujibu kistaarabu hata unapochokozwa!!
Chadema hawana moral authority ya kuzungumzia katiba ya nchi wakati ya kwao ni matatizo matupo na hawaifuati,watu kama hawa wakipewa dola,wataharibu kila kitu
 
Paskali maendeleo yapi? Kwa nini tunaanza kufikiri kuongeza muda wakati hata hiki kipingi kimoja kinaonekana kumshinda?
Mkuu Chakaza, mambo anayoyapigania ni mengi na makubwa, hivyo miaka 10 haitoshi kuitandaza SGR nchi nzima, mwendo kasi jiji zima, barabara za juu kwa juu kila njiapanda cheleweshi, kumaliza rushwa, uzembe na ufisadi. Kukamilisha kumuondoa adui ujinga, kiukweli miaka 10 haitoshi!.

Tumuongezee muda kama Kagame, Museveni na Mugabe.

P.
 
Hiyo Mkurugenzi Wa Iringa aliyeandika hiyo barua VP kuwataatifu wakurugenzi wote nchini yafanyike maandamano kumpongeza rais Kwa utendaji wake nzuri na uliotukuka,lakini ndo hivyo tumeamua wakurugenzi nao wawe wanasiasa sijui sasa hivi kimebaki cheo gani ambacho ni serikali kamili ambacho hakiingiliwi na siasa!
 
Back
Top Bottom