Kumbe na ww una akili kama za Joseph msukumaTHE BOSS KUMBE NA WEWE UNA AKILI KAMA ZA LEMA
Habar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Ni wehu wanaoweza kufikiri hivyo. Na hapo nyamuswa wana hali mbaya tu kimaisha na bado hawawezi kujiongeza.Kwa hiyo Magufuli ataishi miaka 157 ?
Anamuiga mjeda Kagame na kale kawilaya kake ni sawa na Chato yote.unasahau kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha kuwa ni miaka kumi na ni makamanda wa chadema walio muondolea ukomo wa madaraka mwenyekiti wao
Nadhan wananchi unao waongelea sio watanzania , hakuna taifa lenye wananchi wajinga na wapumbavu na wenye kiherehere na kujipendekeza pamoja na unafiki kama tanzania , hii ni nchi yenye giza nene kuanzia wananchi hadi serikali yao.Ngoja arudi mitano tena uone km hao wananchi watantaka tena, haya maigizo ya awali tu. 2021 wataandamana kumkataa
Katika ya chama na katiba ya nchi ni vitu viwili tofauti kabisa tatizo shule huna ujinga umekujaa kichwan hivyo hata hujui kuwa hivyo ni vitu viwili tofauti.Acha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua thread
Hahahaaa kama wewe si mtanzania hilo ndio waweza ona gumu lakin kama ni mtanzania basi amini kuwa hakuna kitu ambacho rais atataka kifanyike nchi hii kikashindikana.Hana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.
Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
Kwa tanzania hilo linawezekana hata leoleo mkuu ,hii nchi ina laana ya kudumu ndio maana hakuna tunalo weza zaid ya ujingaTatizo la Kipara mshauri wake ni bashite ninavyoijua CCM hawawezi kukubali hasa hao Marais wastaafu
Utakuwa ni ujinga kukataa kuongeza muda kwa mtu anayefanya vitu kwa faida ya nchi eti kwa sababu tu kuna katiba na kuna watu wanapinga,ni ujinga,wakitetea kuwaweka watu walioshindwa kuisaidia nchi hiiHabar wakuu,amani iwe juu yenu
Wananchi mkoa wa Mara kijiji cha Nyamuswa wakiongozwa na wazir mkuu mstaafu jaji Sinde Warioba wameeandamana na kuweka mkutano kwa lengo la kumpongeza rais Magufuli kwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo..wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
My take:Hata Rwanda walianza hivi hivi chondechonde watz wenzangu tuwe makini kuna harufu ya ukagame inanukia,
Ndiyoooo. Maana na yeye ataishi miaka 100 kuanzia sasa.Warioba nae anataka jpm aongoze miaka 100??