Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Labda awe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Chato ndo aongezewe miaka 100 lakini kwa Jamhuri ya Muungano wa Tz hata wiki haitaongezwa tena ccm wenyewe ndo watakao kataa hadi kufa yaan hii miaka miwili walivyopauka kwa kusomeshwa namba unataka tena miaka mingine
 
Kwanini asikubali? Amekubali Kagame ambaye miaka ya awali alikataa kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hataendelea na madaraka, tena kuna mara nyingine alihojiwa na Jenerali Ulimwengu. Ni mwaka jana tu ndipo Kagame akaanza kubadilisha kauli na kusema hana sababu ya kukataa maoni ya wengi kama wanataka aendelee. Hatimaye katiba ikabadilishwa na sasa anagombea na atashinda na kuweza kuongoza kwa miaka 7 mingine-baada ya kumaliza 14!
Napenda unapotetea hoja zako kwa mifano,muda utazungumza na ukweli utajulikana.
 
Akili zetu hizi, Mungu atusaidie. JPM anazaidi ya miaka 7 anayoruhusiwa kikatiba Kuendelea kuwa Rais. Wazo kama hili linakuja vipi Leo? Mbona safari bado ndefu sana?
Mimi namsupport JPM lakini lowa thinking kama hizi zinanikera.
Amebakisha miaka mi3 tu.
Ili aendelee ccm wafanye tena uchaguzi wa ndani alafu akishinda ndio atakuja tena kwa wanawanchi tumpigie kura akipambana na wagombea wengine anaweza akapigwa chini na wana wanchi akaongoza mwingine.
 
Hana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.

Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
Aisee wewe unaongea nini? Mngekuwa na uwezo wa kuwakomesha mngekubali kutowaliwa na hao hao miaka 51? Au unajiliwaza kwa kuropoka mitandaoni tu?
 
Amebakisha miaka mi3 tu.
Ili aendelee ccm wafanye tena uchaguzi wa ndani alafu akishinda ndio atakuja tena kwa wanawanchi tumpigie kura akipambana na wagombea wengine anaweza akapigwa chini na wana wanchi akaongoza mwingine.

Wakumpiga chini Jpm kwa kasi aliyo nayo hayupo! Hamna upinzani wenye hiyo nguvu kwa sana.
 
Ngoja arudi mitano tena uone km hao wananchi watantaka tena, haya maigizo ya awali tu. 2021 wataandamana kumkataa
Mkuu wewe unaangalia leo lkn mtukufu ameona Mbali hii Move usidhani inafanyika kwa Bahati Mbaya wameanzia huko viijijni wanapima Uwepo siku zinavyozidi kwenda watasogea Mjini....then utasikia wananchi Maskini wanaoonewa wameniomba
Kisha wataandaliwa watu wanaodhaniwa ni Wasomi
Takwimu zitaletwa kwenye Media... kuhalalisha hiyo...
unaweza kuelewa Mswada ukifika Bungeni kwa wagonga MEZA
 
Angebadili katiba ningejua kweli ni mzalendo ingawaje uwezo wake ni wa kawaida tuu...
 
Hahahaaa kama wewe si mtanzania hilo ndio waweza ona gumu lakin kama ni mtanzania basi amini kuwa hakuna kitu ambacho rais atataka kifanyike nchi hii kikashindikana.
Alitaka kivuko cha Bagamoyo kifanye kazi mbona ameshindwa/kimeshindwa[emoji84] [emoji85]
 
ENDELEENI KUKUSANYA KUNI.
MOTO UNAKUJA.
MAANA MNAONA BURUNDI WANAISHI KWA RAHA MUSTAREHE.
Rwanda wanaishi kwa raha sana! PK aliongeza miaka ikwa saba,vipindi vitatu! Na akitoka madarakani anarudish vipindi viwili miaka mitano mitano. Hizi nchi zetu ukiwa laizerfair leader utavuna mabua. Jk alisema pesa za escrow sio za umma il leo tumeambiwa ni za umma kuna tofauti kubwa sana kati rais mwenye uchungu na nchi na rais mwenye uchu na nchi!
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
na haya maandamano ji ya kushinikiza. kama mtumishi wa serikali hujaenda basi ushajiachisha kazi, ni maandamano ya kuogopa, nyie wenyewe mlizuia maandamano kumbe ilikuwa ni ya upinzani nyie mfanye, raisi anayoyafanya hata mie namuunga mkono ila kitu kimoja anachofanya raisi wetu ni ubaguzi na chuki tu, hapo ndio anapoteleza, kwingine nampa mia kwa mia, ila kwa chuki na ubaguzi hapo ninamdevalue kwa kweli mpaka nahisi kwanini nilitupa kura yangu sipo
 
Hana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.

Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
Akiamua kubadili KATIBA utamfanyaje... kama amekataza Bunge lisionwe Kimya Vyama Pinzani visifanye SIASA naimekuwa.... kipi kitakufanya umpinge... Tuwalaumu waliotuletea
huu Mkosi....chakufanya ni kumuomba MUNGU...atuepushie hiki Kikombe..... ni hatari
 
Jaji Warioba, zidhani kama kazeeka kufikia kiwango cha kutojitambua. Mleta mada utakuwa umeongeza chumvi
 
Hata Mimi alipoingia madarakani nilikuwa na muono kama Huo kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na kasi yake.lakini hapa kati akaharibu kidogo na kupoteza imani yangu ya yeye kuwa raisi wa kudumu.lakini naamini atarekebisha na kurudisha imani yangu ya awali.
 
Acha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua thread
kwani katibabya chadema mnaijua, mbona cheyo ni mwenyekiti tangu chama chake kianze hammsemi, labda ni katiba yao, unataka katiba ya kila chama ifanane na ya ccm, zwazwa kweli wewe, dovutwa nae mwenyekiti, tlp mrema the same, mbona hamuwasemi hao
 
Back
Top Bottom