Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Utakuwa unasapoti ujinga[emoji84] wa Lumumba
Sijafungwa na siasa mi ni mfuasi wa maendeleo ya kweli sio mfuasi wa chama cha siasa, hakuna chama ninachokikubali hata kimoja
 
Nadhan wananchi unao waongelea sio watanzania , hakuna taifa lenye wananchi wajinga na wapumbavu na wenye kiherehere na kujipendekeza pamoja na unafiki kama tanzania , hii ni nchi yenye giza nene kuanzia wananchi hadi serikali yao.
Asante Kwa hii umeandika naangalia Humu watu wanamwaga Povu kusema hawatakubali...Mfano mzuri Bunge liko gizani watu wanalalama gizani hakuna kilichobadilika.... hapa watu wamsihi MUNGU atuondolee KIKOMBE hiki.. BASI hayo mengine yakwamba hatutakubali ni maneno yakujazia Thread...inatakiwa tujiulize tangu
hizo Porojo zilipoanza ushawahi kusikia watawala wakikemea kitendo hicho NO.... manake huo ni
Mpango umeanzia mbali
 
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!

natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda

time will tell
Hii kitu inanipa mashaka...hatari kweli kweli
 
Alipewa aliomba? Push ups zote zile? Aliomba sana tena kwa gharama nyingi sana na siku nyingi sana. ALIOMBA NA KUBEMBELEZA!!
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!

natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda

time will tell
As I said before Venezuela in the making. Kwanza tupitishe katiba mpya
 
Plus salary slip hajaonyesha
 
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!

natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda

time will tell

Hilo halipo kwa watunga sheria Bali ninyi mapoyoyo msokuwa na impact yoyote na popote
 
Mi nililiona hilo kitambooo....sasa hivi nasubiria muvi ianze..
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Kama atapeleka muswada bungeni au kuitisha kura ya maoni haina shida kuna mwenyekiti wa chama aliondoa ukomo wa uenyekiti kwenye katiba ya chama chake kinyemela tu na watu wakakenua tu shida iko wapi.

Yote haya yanawezekana sababu mbadala wa CCM ni nyoronyoro.
 
Nadhani aliapa kuilinda katiba na si kuifanyia mabadiliko kwa kuzingatia maslahi binafsi!
Kama watanzania wakidhani kuna haja ya kuongeza vipindi, kamwe visimhusu kiongozi aliyepo madarakani bali wale watakaofuata!
 
Anawatisha wastaafu kwa kashfa zao as zamani na kuunda tuvikundi twa mazezeta kuandamana
Kuwa aongezewe muda.Sijui wastaafu wameogopa?tutaona.ONly time will tell.
Hahahaa..
Yani anakuwekea kitanzi halafu anakutizima jinsi unavohangaika.
Ukijitikisa tu unakivaa
 
Aongezewe muda kwa lipi? Kufoka had I sasa hakuna cha maana alichokifanya.....kazindua barabara hewa ubungo, reli hewa, marekebisho ya mikataba hewa
 
Baada ya kurekebisha vitu vya msingi wanabadilisha sheria Bora zenye misingi ya hali na Demokrasia.

Wakifanya hivyo ntaanza kuamini hatujarogwa ila tumelaaniwa.

Na kama itapita hiyo sheria basi wamrudishe Mzee Tunutunu awe Rais wa Maisha
 
Kama atapeleka muswada bungeni au kuitisha kura ya maoni haina shida kuna mwenyekiti wa chama aliondoa ukomo wa uenyekiti kwenye katiba ya chama chake kinyemela tu na watu wakakenua tu shida iko wapi.

Yote haya yanawezekana sababu mbadala wa CCM ni nyoronyoro.
Tunaongelea Urais na sio mambo za mwenyekiti. Hii tupakule mwenyekiti hata wa mtaa yupo
 
Back
Top Bottom