Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 729
- 969
Hii mambo utaisikia kwenye mikoa ambapo elimu zao ni chini ya std 7.
Naunga mkono hoja, Magufuli aongezewe mudaKuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
Kumi? Mitano hii ikiisha hapati mingineSiku hizi haipiti siku mbili bila kusikia kile kinachotangazwa kuwa
'wananchi wanataka Magufuli aongezewe muda'
Na ukifuatilia zaidi unagundua sio wananchi bali ni 'mipango mipango' tu
ya watu wachache.....
cha kushangaza Magufuli hata nusu ya miaka mitano tu ya kwanza hajamaliza...
na wala sio kwamba anakaribia kufikisha miaka kumi ya urais wake
Lakini 'harakati za waziwazi sasa zinaonekana' za kuweka mazingira
ya kumuwezesha akae zaidi ya kikomo cha miaka 10 kama wenzie...
Swali la kujiuliza.....anataka kuwa Rais wa maisha?
ni kweli miaka 10 haimtoshi?
Naunga mkono hoja.wananchi hao walienda mbali zaid kwa kubeba mabango yanayomtaka rais Maguful aongoze miaka 100!
Hiyo 5 mingine ataipata tu kwa gharama yoyote ile!! Ndo vile tu upinzani wenyewe unapumulia mashine, yaani ni full disaster!Kumi? Mitano hii ikiisha hapati mingine
Kitu kama hicho hakiwezi kutokea,wapambe tu ndo wanajipendekeza kuandaa maandamano ya kuomba aongoze zaidi ya muda uliowekwa kikatiba,yeye hawezi kukubaliHaijawahi kutokea kwa rais yeyote wa Tanzania akaongoza chini ya miaka 2 halafu watu wakatamani aongoze zaidi ya muda uliowekwa kikatiba. Madaraka hulevya sana, huyu aliyekuwa analalamika kuwa kazi ya urais ni ngumu anatamani hata angekuwa anaongoza kwa miaka 2, mwangalieni vizuri ikifika 2022-24. Katiba lazima itabadilishwa ili aendelee.
Acha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua thread
Wastaafu ndo kina Nani? Au una maanisha wazee walioachwa "wapumzike"?Anawatisha wastaafu kwa kashfa zao as zamani na kuunda tuvikundi twa mazezeta kuandamana
Kuwa aongezewe muda.Sijui wastaafu wameogopa?tutaona.ONly time will tell.
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell