Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,628
Kwanini asikubali? Amekubali Kagame ambaye miaka ya awali alikataa kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hataendelea na madaraka, tena kuna mara nyingine alihojiwa na Jenerali Ulimwengu. Ni mwaka jana tu ndipo Kagame akaanza kubadilisha kauli na kusema hana sababu ya kukataa maoni ya wengi kama wanataka aendelee. Hatimaye katiba ikabadilishwa na sasa anagombea na atashinda na kuweza kuongoza kwa miaka 7 mingine-baada ya kumaliza 14!Kitu kama hicho hakiwezi kutokea,wapambe tu ndo wanajipendekeza kuandaa maandamano ya kuomba aongoze zaidi ya muda uliowekwa kikatiba,yeye hawezi kukubali