Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

Na kwa maagizo ya aina hii lazima wapate washiriki wengi
Duh, yani watu wanalazimishwa kabisa kujitokeza na wakuu wa idara kuagizwa kuchukua mahudhurio..! Sasa kama watumishi wengi wanaridhika na utendaji wa rais si watajitokeza kwa wingi tu jamani bila hata kupigwa mikwara....?

mambo mengine haya buana yani basi tu
 
Kwani hata kagame alianza VP,nashukuru Kwa kuwashtukia wapambe Wa mpango huo,tusubili mda utaongea wameanza kama wananchi na baadae watakuja wabunge,refer hotuba ya Mwalimu kuchezea katiba,lakini Kwa Mimi Kwa magufuli sijui kama atakubaliana na hill Kwa cku zote analalamika Kwa watanzania kumpa kazi ngumu sana ya urais!
 

Wanalalamika uongozi ni mzigo but akishindwa kura hakubali matokeo
 
Wazungu wanakuwaga na vimisemo ambavyo sometimes vinauzi sana kama huu " JUST WAIT&SEE"
 
It will never happen. Full stop.

Hao ni kupe wanaonufaika na utawala wake. Mark my words. Utawala wake, si uongozi wake.

Anaweza kuja kuibua katiba mpya akikaribia miaka kumi ili apate upenyo. We should be aware of the trick!

Hata hiyo miaka kumi will be too much to bear. Mungu atunusuru.
 
kama hilo ndo lengo lake, basi kwa mtazamo wangu ni kuwa wameshauriana vibaya katika muda wa kuanza kampeni hizo. km ulivyosema, muda bado sana wa kumaliza kipindi chake cha halali na bado kuna mengi ya kusubiri matokeo. kampeni hizi zinachagizwa na masuala ya accacia ambayo hata bado hatujajua mwisho wake...pengine sisi ndio tutakaopigwa. ili mvumo huu uendelee, inabidi afanye mazuri katika muda wake wote uliobaki, jambo ambalo sidhani. kasi yake ya kuchokwa itakuja kwa haraka hivihivi km anavyolazimishwa kupendwa.....mbaya zaidi itakuja mwishoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…