Wananchi masikini wapewe kipaumbele kuset agenda za uchaguzi 2020

Swali ni je? Wanaokushabikia walijiandikisha na Wana vutambulisho vya kura ... Nakumbuka ufipa walipinga watu wasijiandikishe kwakua hakuna tume huru [emoji3][emoji3]

Kura za cdm uchaguzi uliopita ni 6m+, wote hao wana vitambulisho. Na kwa ushenzi uliondelea kwenye box la kura ndani ya awamu hii ya tano, hakuna uwezekano wa wapiga kura kufika 20m. Isitoshe waliojiandikisha hawana guarantee ya kuwapigia ccm. Unless uniambie wote walijindikisha masharti ni lazima waipigie kura ccm.

Halafu ukitaka kujua kuna vichekesho toka kwa wanaccm, siku zote huwa mnasema huku mitandaoni kuna watumiaji wachache, na hiyo kuhamasisha kuwa hakuna tume huru ya uchaguzi, ilifanyika mitandaoni. Sasa kama mitandaoni kuna watu wachache, inakuwaje muone hakuna wapiga kura wa upinzani waliojiandikisha? Au ndio yale watu wakikusanyika watu kwa Magufuli ni dalili kuwa Magufuli anapendwa na atapata kura nyingi, ila watu wengi wakikusanyika kwa wapinzani mnasema nyomi sio kipimo kura!
 
Mlipaswa muwahimize watu wajiandikishe

Kwenye kampeni kila mmoja anyooshe kitambulisho Cha kura [emoji3][emoji3]

Ukionyesha kitambulisho ndio utapiga kura? Acha utoto dogo, kama huna hoja piga kimya.
 
Kura za cdm uchaguzi uliopita ni 6m+, wote hao wana vitambulisho. Na kwa ushenzi uliondelea kwenye box la kura ndani ya awamu hii ya tano, hakuna uwezekano wa wapiga kura kufika 20m. Isitoshe waliojiandikisha hawana guarantee ya kuwapigia ccm. Unless uniambie wote walijindikisha masharti ni lazima waipigie kura ccm.

Halafu ukitaka kujua kuna vichekesho toka kwa wanaccm, siku zote huwa mnasema huku mitandaoni kuna watumiaji wachache, na hiyo kuhamasisha kuwa hakuna tume huru ya uchaguzi, ilifanyika mitandaoni. Sasa kama mitandaoni kuna watu wachache, inakuwaje muone hakuna wapiga kura wa upinzani waliojiandikisha? Au ndio yale watu wakikusanyika watu kwa Magufuli ni dalili kuwa Magufuli anapendwa na atapata kura nyingi, ila watu wengi wakikusanyika kwa wapinzani mnasema nyomi sio kipimo kura!
mbona vilio vyenu ni vingi??
 
Back
Top Bottom