Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Gunia la senene zilizo tolewa manyoa ni 1.5m ukiifikisha mji wa kampala, au Masaska nchini Uganda, gunia la mahindi ni 65000, gunia la dagaa 80,000 ngunia ya mchele ni 250,000 wewe hutumie akili kwasmba senene ni biashara kubwa kuliko mazao mengine.Kagera, senene si wadudu tu, ni protein ya kuaminika, ajira ya haraka. Unakula, unauza, unajenga future,, all from a flying insect!
Sijakuelewa, umeandika kupinga nilichoandika au ume support?Gunia la senene zilizo tolewa manyoa ni 1.5m ukiifikisha mji wa kamapala, gunia la mahindi ni 65000, gunia la dagaa 80,000 ngunia ya mchele ni 250,000 wewe hutumie akili kwasmba senene ni biashara kubwa kuliko mazao mengine.
Nakuuga mkono mkuu usiwe na hofu.Sijakuelewa, umeandika kupinga nilichoandika au ume support?
nashangaa namimi awaite wadudu ,kwamba dr lwaitama comred huyu anavyowatafuna vile
Ila mkuu we mchekeshaji sana aise!choo bojo, mmechikia senene, zirivo tamu,
Aaah munasema wahaya majigambo huyu ni muhya kwani mmechikia ninyi kina secretarybird wakola waitu
Nina chekesha wapi sasa cho! Kaijage munamusikia huyu murangi, ndege sasa mtu anaitwa ndege aaaah sisi wahaya ni kina pureshaziiIla mkuu we mchekeshaji sana aise!
Hahaha 😂, ngoja nisiongee nyainshoziNina chekesha wapi sasa cho! Kaijage munamusikia huyu murangi, ndege sasa mtu anaitwa ndege aaaah sisi wahaya ni kina pureshazii
Yaaaaniii kwetu wote ni wasomi,Hahaha 😂, ngoja nisiongee nyainshozi
but not sustainable.Gunia la senene zilizo tolewa manyoa ni 1.5m ukiifikisha mji wa kampala, au Masaska nchini Uganda, gunia la mahindi ni 65000, gunia la dagaa 80,000 ngunia ya mchele ni 250,000 wewe hutumie akili kwasmba senene ni biashara kubwa kuliko mazao mengine.
Nasikia hao ndugu zako wamefungua tired yaani biashara kule walipo.Yaaaaniii kwetu wote ni wasomi,
Kama mdg wangu Yuko ausitiralia,
Dada yangu Yuko sikotiland
Sasa mpk ujaze hilo gunia ni rahisi?Gunia la senene zilizo tolewa manyoa ni 1.5m ukiifikisha mji wa kampala, au Masaska nchini Uganda, gunia la mahindi ni 65000, gunia la dagaa 80,000 ngunia ya mchele ni 250,000 wewe hutumie akili kwasmba senene ni biashara kubwa kuliko mazao mengine.
Joo biashara labuda international sisi hatuna local bizineziNasikia hao ndugu zako wamefungua tired yaani biashara kule walipo.
Hongera sana bwana rwenyagira kwa mafanikio hayo.Joo biashara labuda international sisi hatuna local bizinezi
Joo hongera ya nn sasa, wakati mbwa wangu anakula laki mbili kwa siku 😂Hongera sana bwana rwenyagira kwa mafanikio hayo.
Sikuizi Wanauza Bei juu Sana Sanaa hapo hapo bukoba.sio kama miaka ilee tunasafir na meli KABLA ya kuanza safari za ma Basi..Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene.
Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata kipato kinachowawezesha kujikimu na kupata mahitaji yao pamoja na kulipa ada za watoto shuleni.
…..sauti za wakazi wa kagera….
chanzo:
Wakazi Kagera wanavyoneemeka kupitia senene
Wakazi mkoani Kagera wamesema wamekua wakiingiza kipato kinachowawezesha kujikimu kwa biashara ya wadudu aina ya senene Na. Elisa Kapaya Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa…radiotadio.co.tz
Kumbe umeshakaa naoJoo hongera ya nn sasa, wakati mbwa wangu anakula laki mbili kwa siku 😂
Ila nilikuwa kiboko ya wahaya wanaojisifu mbele yangu