Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Sasa jee nawakubali sana nshomile sema majigambo mengi sana mbele yangu nawazimaga moto 😂Kumbe umeshakaa nao
Mhaya anapenda sifa,
Mchaga anajua kusifia, Yesuuuuu pale kwa shayo sio kula tulikula mpka tukakaa chini, hizo bia sasa oooooh chalii wangu ni kwikwi ilikuwa hapo...... Yaaaaniii sijawahi ona sherehe kama ile ya kifaharrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii