Wananchi Mkoani Kagera wanavyonufaika na uwepo wa wadudu aina senene

Kumbe umeshakaa nao
Sasa jee nawakubali sana nshomile sema majigambo mengi sana mbele yangu nawazimaga moto πŸ˜‚

Mhaya anapenda sifa,

Mchaga anajua kusifia, Yesuuuuu pale kwa shayo sio kula tulikula mpka tukakaa chini, hizo bia sasa oooooh chalii wangu ni kwikwi ilikuwa hapo...... Yaaaaniii sijawahi ona sherehe kama ile ya kifaharrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii
 
Kuna demu wangu mmoja pale sinde nilikuwa nikizinguana naye namwongelelesha kwa lafudhi ya kichaga hadi anapoa na kunipenda tena.

Namwambia "Yaani we mtoto una mguu mzurrrrrri!.... I never have seen woman like you in Tanzania".
 
Kuna demu wangu mmoja pale sinde nilikuwa nikizinguana naye namwongelelesha kwa lafudhi ya kichaga hadi anapoa na kunipenda tena.

Namwambia "Yaani we mtoto una mguu mzurrrrrri!.... I never have seen woman like you in Tanzania".
Unasemaje kimarrrroooo kirrruuuuh,
 
Mkuu tafadhali acha uwongo mtakatifu!
Oooh unajua fom six wa pale walivyo wakubwa afu jamaa mbona alikuwa matawi ya juu na wanamiliki simu, kafanya namna kapata namba ya odilia,

Kamtongoza vzr odilia kajaa, wameenda kuonana Moshi mjini,

Siku odilia Yuko zamu kaenda jikoni kaona sura aliyokutana nayo Moshi mjini inagombania uji πŸ˜‚
 
Huyu kama syio Mimi sijui 🀣🀣.

Cc Dr am 4 real PhD
 
Huyu kama syio Mimi sijui 🀣🀣.

Cc Dr am 4 real PhD
Kuna jamaa alidanganya anafanya kazi crdb halafu jamaa huwa ana miwani za ki doctor πŸ€“

Yupo form five anawai mapema benki CRDB alafu anamwita demu jamaa anatokea benki ndani ☺️ 😁 Ila mwanaume ni kiumbe hatar akiwa anatafuta chochote.
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ Ngoja baadaye nije mbinu nilizokuwa natumia kula mbususu.
 
Gunia la senene zilizo tolewa manyoa ni 1.5m ukiifikisha mji wa kampala, au Masaska nchini Uganda, gunia la mahindi ni 65000, gunia la dagaa 80,000 ngunia ya mchele ni 250,000 wewe hutumie akili kwasmba senene ni biashara kubwa kuliko mazao mengine.
Senene wa Kagera wana manyoya?
 
Na serikali imewawekea mazingira mazuri ili kuhakikisha hao viumbe wanapatikana sustainably.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…