Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Kama nchi nzima ikiamka hivi kwa namna fulani haya matukio yatakoma kabisa.
Sababu Polisi ni wazembe wa kusoma na wazito wa kuelewa, imepelekea hata wasiwe wanaisoma PGO.
Chukueni hii PGO, wasambazieni wananchi huko mitaani ili waanze kuisoma waielewe na waanze kuitumia.
 

Attachments

Hii ndio akili kule kanda ya ziwa wanajitambua sana sio jamaa wa Tanga waoga kama Mnyika.Kwasasa Ni sisi wenyewe tujihami Usikubali kukamatwa kama Kuku HAPANA.

Nenda Polisi kituoni na watu wapige picha uko Kituoni haya mambo ya kuchukuliwa kama Kuku kienyeji halafu unakutwa umeuwawa tukatae kabisa.
 
Siku moja ilitokea ajali ya gari la vinywaji mimi nilifika pale kulikuwa na watu wengi sana wanashuhudia ile ajali mm nilipofika nilichukua carton moja ya vinywaji nikawa naondoka
Kilichotokea ni kama fungulia mbwa ndani ya sekunde kadhaa tu kila mtu pale alikuwa anapambana kuondoka na chochote

Hapo mwanza kwa hilo nyoni nnaloliona hapo angetokea mtu mmoja tu akampasha kofi mmoja kati ya hao wanaodhaniwa kwamba hawajulikani basi nadhani hii habari ingetufikia kwa namna nyingine kabisa na ingekuwa safi sana
 
Wasiopenda wala kutaka demokrasia ya uhuru wa kutoa maoni mbadala na kukosoa pale wanapopaswa kukosolewa watambue kuwa zama hizo zimekwishapita

Wasidanganywe na watu wanaowazunguka kila siku, wanaokutana nao mara kwa mara jinsi walivyo loyal na kuitikia kila kitu wakadhani vijana wote wako hivyo hadi huku mtaani
 
Kuna mtu anasema tz hawawez kufanya ya gen z kenya...? Viva wasukuma hapa nawapa big up
 
Tuliwambie kama hawawezu kutulinda watuachie hilo swala sio kwamba wananchi tunashindwa.

Sasa hapo kama wao ni wajanja wakimbize hiyo gari waone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…