Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Mbegu iliyopandwa inaelekea kuota, itakomaa na kutoa mavuno. Magugu ni mepesi kumea kuliko mazao, watu wameondoa magugu Ili wapate mazao!
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Tukisema watu wa kanda ya ziwa wanajitambua tunarushiwa vijembe na kejeli, wapi kwingine wamethubutu!
 
Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Uko sahihi mkuu 'Paki'; lakini kweli serikali inahitaji kukumbushwa maswala kama haya?
Huko serikalini kweli hakuna wanao liona tatizo hili hadi wananchi waingilie kati? Serikali ipo kufanya nini?

Kwa nini serikali ndio wawe wafanya uhalifu; ambao wananchi sasa inalazimika kuingilia kuuzuia! Hii si aibu kwa viongozi wakuu wa serikali?
 
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.

Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.

Hakika hii ni dalili nzuri. Tuombee mwamko huu wa wananchi uenee sehemu zote nchini
 
Tena wangewapiga kiberiti kabisa iwe funzo.
Ni mwanzo mzuri. Hiyo hatua ni hapo baadae, hasa tukielekea kwenye wizi wa kura za wananchi na ujinga mwingine unaofanywa na hizo tume feki za uchaguzi.

Kwa vile wananchi wameanza kuonyesha mwamko, inafaa sasa CHADEMA iwape elimu kutambua ni wapi juhudi zao hizi zinahitajika sana wakati huu muhimu sana katika hatma ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom