John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kidogo kidogo safari inaanza.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Ni lazima ipo siku tutafika tu huko wanakotaka tufike, safari ndio imeshaanza hivi.