Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu Polisi ni wazembe wa kusoma na wazito wa kuelewa, imepelekea hata wasiwe wanaisoma PGO.Kama nchi nzima ikiamka hivi kwa namna fulani haya matukio yatakoma kabisa.
Polisi watakuwa na wakati mgumu katika kutenda kazi lakini mwisho wa siku kila kitu kitakuwa kimenyooka hasa wasiojulikana wakidhuriwaPolepole ujasiri unaenea Nchi nzima. Watekaji na wauaji mwisho wao upo karibu.
Tena na namba yake na jina vionekane kabisa kama F234…. juhudi etc.Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
View attachment 3097852
Hii Nzuri.
Kuna mtu anasema tz hawawez kufanya ya gen z kenya...? Viva wasukuma hapa nawapa big upWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Tuliwambie kama hawawezu kutulinda watuachie hilo swala sio kwamba wananchi tunashindwa.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Ndio ninachokionaPolepole ujasiri unaenea Nchi nzima. Watekaji na wauaji mwisho wao upo karibu.
😀😀😀😀Bado polisi wapo kwenye uchunguzi wa kuwatambua 😂