.Hatimaye elimu inayotolewa na Chadema imesambaa Nchi nzima.
Mbegu iliyopandwa inaelekea kuota, itakomaa na kutoa mavuno. Magugu ni mepesi kumea kuliko mazao, watu wameondoa magugu Ili wapate mazao!Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Hakika......Safi sana, kazi iendelee, hii iwe hata kwa wanaovaa sare kwa maana tumesha kuwashudia mapolisi feki
Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
NIMEIPENDA SANA HII.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Umefanya jambo zuri sana Mkuu, ila ajabu mbongo atarudi kukulaumu utasikia pages 764! As is wewe ndiye mwandishiWananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Tukisema watu wa kanda ya ziwa wanajitambua tunarushiwa vijembe na kejeli, wapi kwingine wamethubutu!Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Uko sahihi mkuu 'Paki'; lakini kweli serikali inahitaji kukumbushwa maswala kama haya?Wapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Tushukuru tu hawakutishiwa na bunduki, na vitisho vingine wanavyo tumia kila mara.Hivyo ndio inatakiwa
Duh!Wangewachoma moto kabisa.
Halafu wakuu wao wangekuja kuwatambua kwa fingerprint
Hakika hii ni dalili nzuri. Tuombee mwamko huu wa wananchi uenee sehemu zote nchiniWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Ni mwanzo mzuri. Hiyo hatua ni hapo baadae, hasa tukielekea kwenye wizi wa kura za wananchi na ujinga mwingine unaofanywa na hizo tume feki za uchaguzi.Tena wangewapiga kiberiti kabisa iwe funzo.