John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kidogo kidogo safari inaanza.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Litakuwa jambo jema sana kama taarifa hii ni ya kweli.Kwani haya ndiyo tuliyo himiza CHADEMA wayape kipaumbele.Hatimaye elimu inayotolewa na Chadema imesambaa Nchi nzima.
Hii kitubtaahira Kingai hana hamu nayo hasa akimkumbuka peter KibatalaWapo sahihi kabisa. Askari anayepaswa kufanya arresting anatakiwa awe amevaa uniform.
Inapendeza kuona watu wameanza kuamka na wanajitolea kusimamia utekelezwaji wa sheria na taratibu.
Wananchi waichukue hii PGO wakaisoma na kuielewa na kuisambaza kwa wananchi wengine ili waweze kuwasimamia vizuri Polisi katika utendaji wao.
Hiyo ndiyo Mwanza.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Si kuna mabaki ya miili .Duh!
Sasa hizo 'fingerprint' zingepatikana wapi wakisha teketezwa na moto?
Hongera sana kwa wananchi wa Mwanza. Serikali itunge sheria ya mtu kukamatwa. Hatukubali tena kukamatwa kizembe.Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Chura au?Wakati haya yakiendelea, mtu Fulani mkubwa kajificha uvunguni kimyaaπ€
Kuna mambo yanasikitisha sana. Hii siyo ishara njema kwa serikali sababu huko serikslini asilimia zaidi ya 90 hawajui wafanyacho wala wanachopaswa kufanya. Inapotokea wananchi wanaanza kuamka na kuchukua hatua ya kuisimamia serikali kama hivi, huo ndiyo huwa ni mwanzo wa kuanguka kwa seriksli,Uko sahihi mkuu 'Paki'; lakini kweli serikali inahitaji kukumbushwa maswala kama haya?
Huko serikalini kweli hakuna wanao liona tatizo hili hadi wananchi waingilie kati? Serikali ipo kufanya nini?
Kwa nini serikali ndio wawe wafanya uhalifu; ambao wananchi sasa inalazimika kuingilia kuuzuia! Hii si aibu kwa viongozi wakuu wa serikali?
Sio Vijana wa Dar, wangeingia mitiniWakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi.
Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
Masauni alipoteza kilo 12 kwa dakika kadhaaa pale msibani TangaHaitoshi wawachome wao na gati
π hahahaha π π€£ bila Mbowe sijui wananchi wangeamua niniMasauni alipoteza kilo 12 kwa dakika kadhaaa pale msibani Tanga
Leo tungekua tushakula ubwabwa muda mrefuπ hahahaha π π€£ bila Mbowe sijui wananchi wangeamua nini
Itapendeza sanaBado kidogo polisi wataanza kushambuliwa na kuuawa na wananchi wenye hasira kali.
Yote haya yatakuja kwasbb tu ya ujinga wa viongozi kutaka kusalia madarakani wameunda magenge ya wahuni ndani ya vyombo vya dola.