Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Nilijua tu tutafika hapo. Gwagima kasema zitapigwa, ni lazima kuwe na maelezo sahihi na picha zipigwe na kurushwa WhatsApp.
 
Itoe Dar es Salaam Mkuu, watu wa Dar wako selfish sana hawawezi kuja kufanya hivo hata siku moja, haya mambo utayasikia mikoani tu......
Wanakuambia wewe watakupiga hao shauri yako.

Shout out kwa Wanangu wote wa Kinondoni.
 
Bado kidogo polisi wataanza kushambuliwa na kuuawa na wananchi wenye hasira kali.

Yote haya yatakuja kwasbb tu ya ujinga wa viongozi kutaka kusalia madarakani, wameunda magenge ya wahuni ndani ya vyombo vya dola.
Umesema vya ukweli kabisa kuna kitu kinakuja pole pole, sasa wananchi watakapo anza kuwapiga Polisi nafikiri watawala watajitambuwa kuwa mtawaliwa ametambua ufa wa utawala uko wapi.
 
Reactions: G4N
Matukio kama haya ni nadra kuyakuta kwenye vyombo vya habari.
 
Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,

polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,

Ushauri
Tii sheria bila shuriti

Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
 
Sasa kama raia wameamua kujilinda wao wenyewe, kuna haja gani ya kuendelea kulipa kodi?
Ina maana serikali imeshindwa kabisa kupambana na "watekaji"?
 
We

We ni miongoni wa watekaji?
 
Ishu sio wakigoma hawa policcm, wanapaswa waondoke tuajiri polisi wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…