Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawa mapolisi wawekwe kwenye mfumo kama vile ambavyo unaweza kumtambua wakili kwa kuandika jina lake kwenye tovuti ya mahakama. Basi na mapolisi iwe hivyo, raia tujiridhishe kabisa kuwa tunaokamatwa nao ni maaskari polisiTena na namba yake na jina vionekane kabisa kama F234…. juhudi etc.
Wanakuambia wewe watakupiga hao shauri yako.Itoe Dar es Salaam Mkuu, watu wa Dar wako selfish sana hawawezi kuja kufanya hivo hata siku moja, haya mambo utayasikia mikoani tu......
Kaka Kinondoni moja hiyo sio?Hao jamaa wangekuwa na silaha za moto sijui ingekuwaje hapo!
Umesema vya ukweli kabisa kuna kitu kinakuja pole pole, sasa wananchi watakapo anza kuwapiga Polisi nafikiri watawala watajitambuwa kuwa mtawaliwa ametambua ufa wa utawala uko wapi.Bado kidogo polisi wataanza kushambuliwa na kuuawa na wananchi wenye hasira kali.
Yote haya yatakuja kwasbb tu ya ujinga wa viongozi kutaka kusalia madarakani, wameunda magenge ya wahuni ndani ya vyombo vya dola.
Matukio kama haya ni nadra kuyakuta kwenye vyombo vya habari.Kuna mambo yanasikitisha sana. Hii siyo ishara njema kwa serikali sababu huko serikslini asilimia zaidi ya 90 hawajui wafanyacho wala wanachopaswa kufanya. Inapotokea wananchi wanaanza kuamka na kuchukua hatua ya kuisimamia serikali kama hivi, huo ndiyo huwa ni mwanzo wa kuanguka kwa seriksli,
Hili tukio la Mwanza inapaswa liongelewe sana, lisambazwe nchi nzima wananchi wazidi kuamka, hasa kipindi hiki ambacho nchi inaelekea kwenye uchaguzi, mtaona jinsi CCM inavyoenda kushindwa kwa kishindo
Kusudi ukimbieKwanini sheria isiwabane polisi kuvaa sare kabla ya kukamata?
Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu w
We ni miongoni wa watekaji?Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Kwa akili hizi ccm itatawala mileleWe
We ni miongoni wa watekaji?
Kauli ya kipuuzi kabisa hii.Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Kwahiyo umechagua hayo tu ndio uyasemee? Hayo ya kwanza hapo juu hukuyaona?Kauli ya kipuuzi kabisa hii.
Utii sheria bila kuhoji, hii imerahisha sana watekaji kutekeleza upuuzi wao bila kikwazo chochote.
Ishu sio wakigoma hawa policcm, wanapaswa waondoke tuajiri polisi wenye akili.Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao