Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

Wizara ya Ardhi

Govt Institution
Joined
May 14, 2024
Posts
306
Reaction score
165
Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi.

Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03, 2026 ikiwa na kauli mbiu "e-Ardhi: Huduma Popote" ikiwa ni jitihada za Serikali kusogeza huduma kwa wananchi.

Karibu tukuhudumie

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…