Wakazi wa Mbamba Bay Wilaya ya Nyasa wameeleza namna ambavyo Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweza kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa wananchi katika kipindi cha uongozi wake ikiwemo uduma za kijamii kama Maji, umeme pamoja na kivuko cha Usafiri
Aidha wameeleza kumuunga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 na kuhaidi watatiki kwa Samia
Aidha wameeleza kumuunga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 na kuhaidi watatiki kwa Samia