Tena maccm yasiyojielewaYaan media zinawahoji UVCCM wa mkoa huo kisha ndio mnakuja kutwanbia eti "wanainchi wa Nyasa wana mkubali Samia"...?
Kwani ni nani ambaye hajui response kama hizi huwa zinatoka kwa makada wa mboga mboga..!!?
Chama chakavu bana
Halafu ndio wanaitwa wazalendo, ovyo sana hawa watuTena maccm yasiyojielewa