Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukweli walimu msipo kuwa na misimamo na mnavopelekeshwa basi maisha mtayasikia kwa machawa kama mwijaku.
Mnaitaji kuitingisha serikali ya ccm aina mpango na nyie hipo kwa ajili ya kuwatumikisha pindi wanashida ya kujaza mikutanoni na kuchangisha mwenge.