Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

Wakati wabunge wa Mchongo wanatembelea ma V8, tatizo waalimu wako kama pampers kwa lugha nzuri, kabla haijatumika inawekwa kwenye pochi, ikitumika hora
 
Kila Mwaka wanatenga 580B kujinunulia magari halafu baada ya mwaka wanayaweka juu ya mawe then gari lililonunuliwa 400m wanakuja kupiga mnada kwa milioni 3 na kuyachukua wao wenyewe.
 
Hao watu wakiisha pewa posho, wanasahau kila kitu.
Wanasahau namna wanavyotumikishwa kwenye:
-mbio za mwenge,
-uchaguzi,
-ziara za wakubwa,
-na safari za kwenda kufuatilia mishahara yao wilayani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…