Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

ndio hiyohiyo Finland. nchi hii ina uchumi mkubwa sana, pamoja na Norway.
 
mimi sifi leo wala kesho kwa Jina la Yesu, wewe ndio utakufa ndugu. tafuta Mungu mapema.
 
ndio hiyohiyo Finland. nchi hii ina uchumi mkubwa sana, pamoja na Norway.
Iko na nchi nyengine nayo ni Netherlands. Wewe itakuwa umewahi kuishi huko Finland hebu tusimulie vipi hakuna wachunguliaji kweli /.Wana raha sana.
 
Uturuki?!!!
Hivi kambwa kakibweka tu kanaweza kuzuia mwenye nyumba kufanya yake?!

Uturuki alinyimwa kuuziwa silaha na hao Finland/ Sweden, na pia wanahifadhi wapinzani wake. Plus Tayyip aliomba extradition akakataliwa ndo sabb ya nongwa hizo!

Lkn kiuhalisia hana ubavu wa kutunishiana misuli na yeyote!
 
Kyiv katika kijiji cha Lyutezh, wananchi wafukuzwa kwenye apartment zao ili kuwapisha wanajeshi. Inasemekana hivi sasa wanaandaa maeneo ya kuish kwa wanajesh wanaotegemewa kutoka EU na USA. https://t.co/mmhSNxguS5
 
Iko na nchi nyengine nayo ni Netherlands. Wewe itakuwa umewahi kuishi huko Finland hebu tusimulie vipi hakuna wachunguliaji kweli /.Wana raha sana.
View attachment 2235281
mkuu, Finland, Sweden na Norway ni nchi zenye ustaarabu mkubwa sana. hiyo uholanzi weka pambeni kidogo kwa hizi nchi (though nayo ni nchi iliyo juu sana). ila hizo nimekutajia ndio nchi zenye ustaarabu, furaha, maisha bora/quality life na usalama kuishi. ukitoka hapo, nenda Canada, New Zealand na kwa mbalii Australia. ukitoka hapo nenda Uswiss, na vingine vingine maeneo hayo. nchi zingine zoote zilizobaki, kuna maisha na ustaarabu lakin hawazifikii hizo nimekutajia. wananchi wake yaani wanabebwa mno na serikali kuanzia shule, ajira, makazi, na maisha ya kawaida kana kwamba wangezaliwa huku kwetu, wangeshakufa wote sasaivi tunavyoongea.
 
ni kwel lkn , hao wavaa kobaz ndo wamejazana humu na wamemeza points zao , hawatak kuongeza lolote
 
Kwann isiwezekane kuzipiga hizo nchi!!! Hao us na UK wenyewe hawana lolote, Vietnam tu walizichapa, wakajaribu kupeleka jeshi Somalia dah huruma sn maana walifumuliwa vby mnoooo na wababe wa kivita huko Somalia hadi movie ikachezwa
mkuu kipaji chako ni kuvaa kobaz tu ila huku waachie wenyew
 
Inshort dunia Sasa imefumbuka macho,marekani sio rafiki wa kweli,yupo kimaslahi,kwa kuwatumia wengine ili yy anemeeke.mdogo mdogo akili zitawakaa sawa tu!!
taifa gan halina maslai ?
 
Endelea kuwasifia hao wazungu
 
Sasa ngoja wautupie ndimu mzinga wa nyuki waone watakavyokimbizana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…