Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

Kuna nchi moja kati ya hizi za Scandinavia,nimeisahau hawafungi mapazia kwenye madirisha ya majumba yao mazuri kwa kuringia amani ya nchi zao kwani hakuna wa kuchungulia kutamani cha mwenzake hivyo kila mtu hana hofu kuonesha alichonacho.Sasa tusubiri itakuwaje iwapo watajiunga na NATO.
ndio hiyohiyo Finland. nchi hii ina uchumi mkubwa sana, pamoja na Norway.
 
Hakuna wa kupiga Finland wala Sweden bwana. Utasubiri sana hadi utakufa bila kuona nchi yoyote ikithubutu kurusha hata kajiwe kwenye nchi hizo.

Kama unaisema Russia, ifute kichwani hata sasa hivi kauli ya Putin imeshabadilika yeye ataishia Ukraine tu kwani hadi sasa majeshi ya Marekani na Uingereza tayari yapo kwenye ardhi ya Finland na Sweden.
mimi sifi leo wala kesho kwa Jina la Yesu, wewe ndio utakufa ndugu. tafuta Mungu mapema.
 
ndio hiyohiyo Finland. nchi hii ina uchumi mkubwa sana, pamoja na Norway.
Iko na nchi nyengine nayo ni Netherlands. Wewe itakuwa umewahi kuishi huko Finland hebu tusimulie vipi hakuna wachunguliaji kweli /.Wana raha sana.
1653293524169.png
 
Mbona Ukraine walikuwa na nia tu na imekuwa hivyo.Hao Sweden na Finland watanywea tu muda si mrefu.Kwanza mjumbe muhimu wa NATO, Uturukiambaye anaogopewa kwa vile ana turufu ya kubalansi pembe kadhaa keshasema nchi hizo wala zisipeleke watu wao kuzungumza nao kuhusu kujiunga na NATO.

Uturuki yuko Ulaya na Asia na ni taifa muhimu kwa ushawishi wa dini ya kiislamu.
Uturuki?!!!
Hivi kambwa kakibweka tu kanaweza kuzuia mwenye nyumba kufanya yake?!

Uturuki alinyimwa kuuziwa silaha na hao Finland/ Sweden, na pia wanahifadhi wapinzani wake. Plus Tayyip aliomba extradition akakataliwa ndo sabb ya nongwa hizo!

Lkn kiuhalisia hana ubavu wa kutunishiana misuli na yeyote!
 
Kyiv katika kijiji cha Lyutezh, wananchi wafukuzwa kwenye apartment zao ili kuwapisha wanajeshi. Inasemekana hivi sasa wanaandaa maeneo ya kuish kwa wanajesh wanaotegemewa kutoka EU na USA. https://t.co/mmhSNxguS5
 
Iko na nchi nyengine nayo ni Netherlands. Wewe itakuwa umewahi kuishi huko Finland hebu tusimulie vipi hakuna wachunguliaji kweli /.Wana raha sana.
View attachment 2235281
mkuu, Finland, Sweden na Norway ni nchi zenye ustaarabu mkubwa sana. hiyo uholanzi weka pambeni kidogo kwa hizi nchi (though nayo ni nchi iliyo juu sana). ila hizo nimekutajia ndio nchi zenye ustaarabu, furaha, maisha bora/quality life na usalama kuishi. ukitoka hapo, nenda Canada, New Zealand na kwa mbalii Australia. ukitoka hapo nenda Uswiss, na vingine vingine maeneo hayo. nchi zingine zoote zilizobaki, kuna maisha na ustaarabu lakin hawazifikii hizo nimekutajia. wananchi wake yaani wanabebwa mno na serikali kuanzia shule, ajira, makazi, na maisha ya kawaida kana kwamba wangezaliwa huku kwetu, wangeshakufa wote sasaivi tunavyoongea.
 
Stop mental slavery bro, kabla ya kanisa na msikiti mababu zetu waliishi kwa kuheshimiana na kuweka mbele utu, hizi dini zilizoletwa zisitufanye kuwa chanzo cha kubaguana wenyewe kwa wenyewe, ulicho andika hapo juu ni utumbo na inaonesha jinsi gani ulivyo dhaifu wa fikra.

Mtu yeyote dhaifu akishindwa hoja hukimbilia ku personalize vitu baadala ya kedeal na hoja husika, epuka hii sumu ni mbaya
ni kwel lkn , hao wavaa kobaz ndo wamejazana humu na wamemeza points zao , hawatak kuongeza lolote
 
Kwann isiwezekane kuzipiga hizo nchi!!! Hao us na UK wenyewe hawana lolote, Vietnam tu walizichapa, wakajaribu kupeleka jeshi Somalia dah huruma sn maana walifumuliwa vby mnoooo na wababe wa kivita huko Somalia hadi movie ikachezwa
mkuu kipaji chako ni kuvaa kobaz tu ila huku waachie wenyew
 
Inshort dunia Sasa imefumbuka macho,marekani sio rafiki wa kweli,yupo kimaslahi,kwa kuwatumia wengine ili yy anemeeke.mdogo mdogo akili zitawakaa sawa tu!!
taifa gan halina maslai ?
 
Mtu wangu uko mbali sana kwenye dunia hii Ukrane ile kujiunga Nato ilikuwa ni bytheway, urusi wana mahitajio mingi sana kwenye ardhi ya Ukraine, 1 ni kuichukua cremea kuwa sehemu ya russia lakini Donbas iwe huru lakini nyuma ya pazia ni under control of russia na ni kwa sababu za kiuchumi pamoja na Mouriopol

Hao uturuki hawawashi wala hawazimi kama Jana umesikiliza hutuba ya rais wa Marekani Biden amesema Turkey sio kikwazo na anaamini bila ya mashaka yoyote Finland na Sweden watajiunga NATO mapema sana, Yule Edugan amekula mlungula toka russia wazungu wana akili zao timamu kwa mambo yao.,
Endelea kuwasifia hao wazungu
 
mkuu, Finland, Sweden na Norway ni nchi zenye ustaarabu mkubwa sana. hiyo uholanzi weka pambeni kidogo kwa hizi nchi (though nayo ni nchi iliyo juu sana). ila hizo nimekutajia ndio nchi zenye ustaarabu, furaha, maisha bora/quality life na usalama kuishi. ukitoka hapo, nenda Canada, New Zealand na kwa mbalii Australia. ukitoka hapo nenda Uswiss, na vingine vingine maeneo hayo. nchi zingine zoote zilizobaki, kuna maisha na ustaarabu lakin hawazifikii hizo nimekutajia. wananchi wake yaani wanabebwa mno na serikali kuanzia shule, ajira, makazi, na maisha ya kawaida kana kwamba wangezaliwa huku kwetu, wangeshakufa wote sasaivi tunavyoongea.
Sasa ngoja wautupie ndimu mzinga wa nyuki waone watakavyokimbizana.
 
Back
Top Bottom