Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Mkuu hivi unatuona mabwege, stop order na amri ya zuio tofauti yake ni nini? Au yofauti yake moja ni kwa kiingereza na nyingine ni kwa kiswahili? Acha uhuni wa kitoto bana.
Tukinyamaza si ndio watalala moja kwa moja...ndugu yangu kuna watu sasa hivi hawalali kwa kelele zetu, wanapata ukichaa kwa kelele zetu. Tuzidi tu kupiga kele na muda si mrefu utawasikia wenyewe nao wakianza kupiga mayowe kwa hofu!
Tatizo Tanzania wanaharakati wamelala sana hawana faida sasa nani atawapigania Watanzania?
Mkuu mimi nimenawa mikono nimeamua tu kuwa kimya.. Litakalo kuja lije tu hakuna jipya dunia hii yote ni marudio tu, kama ni kuchinja wananchi wake wacha achinje, kama ni kutawala miaka 100 sawa.. Vunja katiba anavyotaka sawa tu maana nchi ya baba yake hii nk
Sio wanaharakati Kijo Bisimba baada tu ya uchaguzi kilimpata nini? Bunge na mahakama vina kazi gani? Wao sasa hivi wanafanya kazi ipi? Hii ya kupewa mahakama Bilioni 12 kesi wazipeleke haraka ama sijui bunge hili la Ndugai kwamba Ndugai awatoe bungeni wapinzani Magufuli atawashughilikia huku nje?Tatizo Tanzania wanaharakati wamelala sana hawana faida sasa nani atawapigania Watanzania?
kuna suku tutaamka, mark my wordsWananchi wapi hao waamke? Unajichosha tu na bandiko lako
Inasikitisha na kutia huzuni ukiona nyumba zinabomolewa na serikali wakati mahakama imetoa zuio LA kutobomolewa nyumba hizo.
Haki yetu tutapata wapi serikali hii inapotutendea isivyo haki na kupuuza amri za mahakama zetu?
Watanzania tujitafakari tumekosea wapi vinginevyo tutaangamia mmoja baada ya mwingine maana hakuna aliyesaalama kwa mwendo huu.
Kama kweli Stop Order ya mahakama ni uhuni! Nini lengo LA mahakama kufanya uhuni huo?.
Stop order ni uhuni tu unaofanywa na makarani kuhadaa wasiojua sheria. Kuna mawakili pia wanafanya michezo kama hii. Serikali haifanyi kazi kwa vistop order, wala haizuiwi kufanya chochote kisa kuna kitu kinaitwa stop order. stop order ni uhuni wa kutishia wasiojua sheria tu.
Katika sheria kuna zuio ambalo huombwa kwa mujibu wa vifungu vya sheria na husikilizwa kwa utaratibu maalum (kati ya muomba zuio na muombewa zuio), baada ya hapo mahakama hufanya upembuzi na ikijiridhisha kuwa kuna haja ya kutoa zuio hutoa zuio. Kuna namna pia ya kufikisha zuio kwa mtu au taasisi iliyolengwa na hilo zuio, sio kwenda kubandika sijiu mlangoni sijui chooni au barabarani kama vile ni wito wa kawaida tu wa mahakama.
Zuio la mahakama ni amri ya kipekee, haiendeshwi ua kuchukuliwa kama amri zingine za kawaida au wito wa kawaida, hii ni kutokama na mazingira inayotolewa na jinsi nature yake ilivyo. Amri ya zuio inao utaratibu wa kipekee kabisa kuanzia mtu binafsi, taasisi binafsi, mashirika ya umma, makampuni, taasisi za serikali, serikali za mitaa na hata serikali kuu. hii inamaana kuwa kuomba, kusikilizwa na kutolewa kwa Amri ya Zuio inatofautiana sana kutokana na wahusika wa kesi yenyewe, mfano kumzuia mtu binafsi au kampuni binafsi ni totauti kabisa na kuizuia serikali.
Stop order haiwezi kulinganishwa na Amri ya Zuio kwa namna yoyote ile. Stop order ni zao tofauti kabisa na amri ya zuio katika sheria.
We unaangaliaga taarifa ya habari na hasa waathirika wa bomoa bomoa kimara au umekuja na mihemuko tu....[emoji15] [emoji15].
Umeliona wapi hilo zuio la kubomoa?
Nani au taasisi gani imepuuza amri ya mahakama?
Fanya uchunguzi yakinifu kabla hujatoa hitimisho na kuanza kutoa lawama zisizo na msingi.
kwa taarifa yako ubomoaji unafanyika kwa mujibu wa sheria. Ni kweli kuna baadhi (sio wote) ya waliobomolewa majengo yao walifungua kesi mahakamani. Cha kushangaza wanadai mahakama imetoa zuio wakati kiukweli mahakama haijatoa zuio lolote dhidi ya serikali au Tanroads. Kuna baadhi walionesha makaratasi (nami mimeyaona) wakidai ndio zuio jenyewe, ukweli ni kwamba lile si zuio la mahakama. Mengi yameandikwa stop order. Stop order sio amri ya zuio inayotakiwa kuombwa na kutolewa na mahakama dhidi ya serikali. Kwanza nina mashaka na hao waliosambaza hizo stop order. Mahakama haiwezi kutoa kitu kama stop order dhidi ya serikali.
kwa kifupi hizo mnazoziita stop oder si zuio la kuzuia serikali au chombo au taasisi ya serikali isifanye utekelezaji wa mipango yake.
Inasikitisha na kutia huzuni ukiona nyumba zinabomolewa na serikali wakati mahakama imetoa zuio LA kutobomolewa nyumba hizo.
Haki yetu tutapata wapi serikali hii inapotutendea isivyo haki na kupuuza amri za mahakama zetu?
Watanzania tujitafakari tumekosea wapi vinginevyo tutaangamia mmoja baada ya mwingine maana hakuna aliyesaalama kwa mwendo huu.
.
Kama kitu hukifahamu bora ukakaa kimya tu.
Stop order ni tofauti na amri ya zuio (Injunction). Tafuta mwanasheria akueleweshe, maana hapa unapinga tu badala ya kuomba ueleweshwe.
Nguchirokwa taarifa yako ubomoaji unafanyika kwa mujibu wa sheria. Ni kweli kuna baadhi (sio wote) ya waliobomolewa majengo yao walifungua kesi mahakamani. Cha kushangaza wanadai mahakama imetoa zuio wakati kiukweli mahakama haijatoa zuio lolote dhidi ya serikali au Tanroads. Kuna baadhi walionesha makaratasi (nami mimeyaona) wakidai ndio zuio jenyewe, ukweli ni kwamba lile si zuio la mahakama. Mengi yameandikwa stop order. Stop order sio amri ya zuio inayotakiwa kuombwa na kutolewa na mahakama dhidi ya serikali. Kwanza nina mashaka na hao waliosambaza hizo stop order. Mahakama haiwezi kutoa kitu kama stop order dhidi ya serikali.
kwa kifupi hizo mnazoziita stop oder si zuio la kuzuia serikali au chombo au taasisi ya serikali isifanye utekelezaji wa mipango yake.
Kweli mkuki kwa nguruwe!!.
Stop order ni uhuni tu unaofanywa na makarani kuhadaa wasiojua sheria. Kuna mawakili pia wanafanya michezo kama hii. Serikali haifanyi kazi kwa vistop order, wala haizuiwi kufanya chochote kisa kuna kitu kinaitwa stop order. stop order ni uhuni wa kutishia wasiojua sheria tu.
Katika sheria kuna zuio ambalo huombwa kwa mujibu wa vifungu vya sheria na husikilizwa kwa utaratibu maalum (kati ya muomba zuio na muombewa zuio), baada ya hapo mahakama hufanya upembuzi na ikijiridhisha kuwa kuna haja ya kutoa zuio hutoa zuio. Kuna namna pia ya kufikisha zuio kwa mtu au taasisi iliyolengwa na hilo zuio, sio kwenda kubandika sijiu mlangoni sijui chooni au barabarani kama vile ni wito wa kawaida tu wa mahakama.
Zuio la mahakama ni amri ya kipekee, haiendeshwi ua kuchukuliwa kama amri zingine za kawaida au wito wa kawaida, hii ni kutokama na mazingira inayotolewa na jinsi nature yake ilivyo. Amri ya zuio inao utaratibu wa kipekee kabisa kuanzia mtu binafsi, taasisi binafsi, mashirika ya umma, makampuni, taasisi za serikali, serikali za mitaa na hata serikali kuu. hii inamaana kuwa kuomba, kusikilizwa na kutolewa kwa Amri ya Zuio inatofautiana sana kutokana na wahusika wa kesi yenyewe, mfano kumzuia mtu binafsi au kampuni binafsi ni totauti kabisa na kuizuia serikali.
Stop order haiwezi kulinganishwa na Amri ya Zuio kwa namna yoyote ile. Stop order ni zao tofauti kabisa na amri ya zuio katika sheria.
Wewe stop order nn!?.