Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Wananchi tufagie barabara za lami mitaani
Mikoa mingi barabara za mitaani zimewekewa lami, na hata taa za barabarani. Ili barabara hizo zidumu, wananchi tujiwekee utaratibu wa kuzisafisha kwa kufagia na kuzoa michanga, na kwa kutotupa takataka na michanga kwenye mitaro.
Michanga na maji ndiye adui mkuu wa uhai wa barabara. Ndio maana utaona barabara zote zinazofagiliwa zinadumu miaka na miaka; wakati zile ambazo michanga inatawala, hazikawii kujaa mashimo, na kuharibika vibaya.