Pre GE2025 Wananchi tuikatae CCM wagombea wao hawatoshi kuongoza nchi hata ndani ya chama minongono ipo hivyo hawataki kumsikia huyo mama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
 
Hii aione Lucas Mwashambwa sasaa.

6A1DCA9C-4862-42EF-82D1-AB9E81819D2C.jpeg
 
Kwahiyo chadema hawanong'oni?
Cuf hawanong'oni?
Au ndio uko black mailed unaona ccm tu mbovu
 
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana ccm wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya ccm .

Ndani ya Ccm wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
ni uzembe pwagu na pwaguzi kupotoshana kiasi hiki 🐒
 
Toka 1992 mpo tu mnambwelambwela hamna lolote la maana. Kila siku mnàimbà kuitoa CCM madarakani halafu mkikutana na Abdul mnakulà rushwa. Nyumbu hovyo kabisa.
 
Mwaka huu sasa ndiyo mda wake kungo'ka
 
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza uatwala wao wa kidhalimu.
 
kwa jina lako unaonyesha kama ni mnyaruanda vile! utatushaurije tukuamini kama hutaki kutuvurugia kwa masilahi ya wa kabila lenu?
 
Kwa hiyo jina langu likionesha hivo siwezi kutoa ushauri
 
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
Bahati mbaya huwezi kumtaja hata Mwana CCM mmoja anayenung'unika.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza uatwala wao wa kidhalimu.
Ni ukweli mtupu hata viongozi wa vyombo vya dola ni mambumbu,hata kama mnalipwa,kuna haja gani kutumikishwa na kunyanyasa dugu zenu Watanzania Kwa maslahi ya watu wachache
 
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
Hao si ndio walimpitisha kwa kishindo DODOMA Na vigeregere vingi , CM ni wanafiki sana sasa wacha wale matunda ya unafiki wao
 
Kwa kuwa Hayati Magu na Lissu,wote Wana sifa ya uzalendo, uchapakazi, maono, uwezo wa kuchukua maamuzi magumu,

TUNDU Lissu na CHADEMA ndio Hasa mkombozi wa Nchi.

Tumuunge mkono.
 
Kwa tume ipi mkuu ! Hii ya raisi anayoteua mwenyewe au kuna nyingine! Hivi mkuu mimi nimekuteua na pia mimi ni mgombea utatangaza nani akishinda
 
Back
Top Bottom