Pre GE2025 Wananchi tuikatae CCM wagombea wao hawatoshi kuongoza nchi hata ndani ya chama minongono ipo hivyo hawataki kumsikia huyo mama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
 
Attachments

  • VID-20250214-WA0041.mp4
    32.6 MB
  • VID-20250214-WA0043.mp4
    32.4 MB
  • VID-20250214-WA0042.mp4
    24.1 MB
Kwa tume ipi mkuu ! Hii ya raisi anayoteua mwenyewe au kuna nyingine! Hivi mkuu mimi nimekuteua na pia mimi ni mgombea utatangaza nani akishinda
Yatafanyika mabadiliko ya kikatiba kuruhusu Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.

Jambo hili Lina baraka zote. Ingawa lazima maandamano yahusike.
 
Rais kwa nchi yetu anawekwa Madarakani kwa nguvu za kijeshi!
 
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,

Huku kwa wananchi yule mama wana CCM wenyewe hawataki kumsikia habari zake na yule mzee wa totoz na bapa ambaye hanyoi nywele, sasa ili vyama vya upinzani viweze kushika dola huu ndiyo wakati wa kupaza sauti agenda ya no reform no election kila kona ya nchi, vyama vya upinzani vifahamu kwamba wapo wengi wanaowaunga mkono ndani ya CCM.

Ndani ya CCM wanachama wanasema kuwa aliyopo juu anaweza kufanya chochote bila kufuata katiba ya chama mfano mzuri mmeona mzee malisa alivyofurushwa baada ya kutoa maoni yake jinsi mkutano mkuu ulivyokiuka katiba ya kuwapata wagombea wa uraisi mwaka huu.

Wananchi tuamke viongozi wa ccm wameshakuwa genge la wahalifu tangu tumepata uhuru wamekuwa kazi yao ni kuuza rasilimali za nchi. haitoshi kwa sasa ukiwapinga uwe mpinzani uwe ndani ya ccm kwako unalala macho mda wote unaweza kuvamiwa au kuchomewa nyumba.

Sasa ndugu zangu ni wakati wa kuikataa ccm maana chama hicho kinaongozwa na genge la wahalifu wa mali za umma ambao hawachukuliwi hatua yoyote , chama hicho kimekuwa neema na ulaji wa familia zao ndugu na jamaa bali si kwa watanzania wote.
Sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom