KERO Wananchi tulionunua Viwanja eneo la Pembamnazi-Tungwi Songani tunahitaji hati zetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao za umiliki.

Kila wanapofuatilia ofisini, hawapati majibu ya kueleweka kuhusu ucheleweshaji huo, jambo linalowasababishia wasiwasi na kukosa uhakika wa mali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…