Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tembelea website ya CAFTupe utaratibu wa kupoga kura bro. Nikamchague Diara mapemaaaaView attachment 2800052
UHAKIKAAAATupe utaratibu wa kupoga kura bro. Nikamchague Diara mapemaaaaView attachment 2800052
Hapo kwenye wakubwa wenzetu weka bold wasome kwa sautiπππππ πππ₯ 11π ππ₯π₯ππππ¦π
Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.
1:Mfungaji bora Caf confederation cup.β
2;Kipa boraβ
3;Goli boraβ
Hapa bado ile ya Club bora Africa ambayo tunapambana na wakubwa wenzetu na timu bora kabisa kama vile Mamelody,Ally Ahly,Wydad,Esperance nk.
Mbona kuna timu nyingi za kujilinganisha na Uto. Kwanini iwe mnyama?Wakina Mwakarobo walikuwa wanasema tuonyesheni kiatu cha Mayele cha ufungaji bora shirikisho sasa sijui wataweka wapi sura zao hiyo siku.
Tuzo ya Sakho ya goli bora walifanya wimbo wa Taifa sasa Yanga ikinyakua matuzo huko sijui watukuwa katika hali gani...
Naona mnateseka sana. Bila mkutaja mnyama mnaona km siku haiwi nzuri.Hapo kwenye wakubwa wenzetu weka bold wasome kwa sauti
Wewe tuonyeshe hata picha ya match ya nusu fainali ya hiyo African Super League.Ndyo kombe lenu la afrika football league
Ihefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kula ndio nini wewe zao la shule za Kata?Acheni masihala yani kwenye tuzo yupo ONANA na BOUNO alafu apewe DIARA[emoji23][emoji23] ata mkimpgia kula nyingi Diarra awawezi kumpa iyo tuzo..watu wamefika final UEFA na mwengine Nusu final WC .... nendeni mkajifuraishe..lakini ampati chochote
Utaratibu wa upigaji kura upoje?πππππ πππ₯ 11π ππ₯π₯ππππ¦π
Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.
1:Mfungaji bora Caf confederation cup.β
2;Kipa boraβ
3;Goli boraβ
Hapa bado ile ya Club bora Africa ambayo tunapambana na wakubwa wenzetu na timu bora kabisa kama vile Mamelody,Ally Ahly,Wydad,Esperance nk.
AhaahaaaWewe tuonyeshe hata picha ya match ya nusu fainali ya hiyo African Super League.
Hapo Diara keshachukua kabla show haijaanza.Tupe utaratibu wa kupoga kura bro. Nikamchague Diara mapemaaaaView attachment 2800052
Mwenye akili ni mmoja tu, Mh. Rage nyinyi wengine mungu tu ndie ajuae.Wenye akili ni wawili tu