Wananchi tunaenda kujinyakulia tuzo zetu tatu za uhakika

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
π——π—˜π—–π—˜π— π—•π—˜π—₯ 11𝗠𝗔π—₯π—₯π—”π—žπ—˜π—¦π—›

Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.

1:Mfungaji bora Caf confederation cup.√

2;Kipa bora√

3;Goli bora√

Hapa bado ile ya Club bora Africa ambayo tunapambana na wakubwa wenzetu na timu bora kabisa kama vile Mamelody,Ally Ahly,Wydad,Esperance nk.
 
Tupe utaratibu wa kupoga kura bro. Nikamchague Diara mapemaaaa
FB_IMG_1698832076690.jpg
 
Wakina Mwakarobo walikuwa wanasema tuonyesheni kiatu cha Mayele cha ufungaji bora shirikisho sasa sijui wataweka wapi sura zao hiyo siku.

Tuzo ya Sakho ya goli bora walifanya wimbo wa Taifa sasa Yanga ikinyakua matuzo huko sijui watukuwa katika hali gani...
 
π——π—˜π—–π—˜π— π—•π—˜π—₯ 11𝗠𝗔π—₯π—₯π—”π—žπ—˜π—¦π—›

Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.

1:Mfungaji bora Caf confederation cup.√

2;Kipa bora√

3;Goli bora√

Hapa bado ile ya Club bora Africa ambayo tunapambana na wakubwa wenzetu na timu bora kabisa kama vile Mamelody,Ally Ahly,Wydad,Esperance nk.
Hapo kwenye wakubwa wenzetu weka bold wasome kwa sauti
 
Ndyo kombe lenu la afrika football league

Ihefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wakina Mwakarobo walikuwa wanasema tuonyesheni kiatu cha Mayele cha ufungaji bora shirikisho sasa sijui wataweka wapi sura zao hiyo siku.

Tuzo ya Sakho ya goli bora walifanya wimbo wa Taifa sasa Yanga ikinyakua matuzo huko sijui watukuwa katika hali gani...
Mbona kuna timu nyingi za kujilinganisha na Uto. Kwanini iwe mnyama?
Una medali, makombe na upo kwenye nini sijui lakini bado Simba ipo mdomoni mwako. Unateseka ukiwa wapi?
 
Acheni masihala yani kwenye tuzo yupo ONANA na BOUNO alafu apewe DIARA[emoji23][emoji23] ata mkimpgia kula nyingi Diarra awawezi kumpa iyo tuzo..watu wamefika final UEFA na mwengine Nusu final WC .... nendeni mkajifuraishe..lakini ampati chochote
 
Ndyo kombe lenu la afrika football league

Ihefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wewe tuonyeshe hata picha ya match ya nusu fainali ya hiyo African Super League.
 
π——π—˜π—–π—˜π— π—•π—˜π—₯ 11𝗠𝗔π—₯π—₯π—”π—žπ—˜π—¦π—›

Usiku wa Tuzo za Caf 2023.Wananchi tunakwenda kukusanya tuzo zetu Kama ifuatavyo.

1:Mfungaji bora Caf confederation cup.√

2;Kipa bora√

3;Goli bora√

Hapa bado ile ya Club bora Africa ambayo tunapambana na wakubwa wenzetu na timu bora kabisa kama vile Mamelody,Ally Ahly,Wydad,Esperance nk.
Utaratibu wa upigaji kura upoje?

Ni mashabiki watu maalumu?
 
The ultimate winner of each category will be decided after votes from a voting panel consisting of CAF Technical Committee, media professionals, Head Coaches & Captains of Member Associations and clubs involved in the group stages of the Interclub competitions.
 
Back
Top Bottom