Hiyo mafian cartel ya sukari Mpina kaiumbua lakini hakuna wakuwajibika wala kuwawajibisha.

Mpina nadhani ni typical Magufuli na ndio anafaa kuwa rais mwakani. CCM wote tunamuunga mkono.
 
Kulaani tu hapa haitoshi kabisa.

Hapo ndo tuone mambo ambayo sirikali haipendi kuwa exposed nayo.
 
Kwa hiyo kwa inshu ya Sukari yuko sahihi ila kwasababu alichoma nyavu basi asikosoe suala la sukari?
 

NASIMAMA NA MPINA
 
Ni wananchi wa mbeya kuamua na kumchana live kuwa 2025 kitaeeweka. Iwe jua iwe mvua.
 
Mpina alipaswa kupeleka ushahidi kusimama nae haumsaidii chochote yeye ndio atajieleza kwenye kamati akiwa na ushahidi .
 
Mpina alipaswa kupeleka ushahidi kusimama nae haumsaidii chochote yeye ndio atajieleza kwenye kamati akiwa na ushahidi .
Ushahidi ushapelekwa mkuu, spika anachogomba ni kwamba ilifaa ufanyiwe kazi kwanza ndipo Mpina atupatie wananchi.

Spika mhuni, alitaka kumkaanga Mpina ili baadaye aonekane (Mpina) alipeleka ushahidi wa uwongo.
 
Ni hatari kujitafsiri ww kwa kusikiliza watu wengine wamesema nn juu yako!!!


Ni mwehu pekee anaweza akakubali jina baya analopewa na watu na kuifanya ndio taswira yake
Jeuri ya CCM kuiba bila aibu ni kwa sababu wana uhakika wananchi hawana cha kuwafanya. Kule Kenya wameungana wanaita Vamia Bunge.

Nukuu ya Kenyata ipo sawa...Nyerere anaongoza maiti
 
Spika kamuonea vipi? kakiuka sheria na kanuni ipi?

Unataka nani amsaidie poyoyo yule?
 
Huu uzi umetolewa kwa kiswahili wewe unaindika kiingereza ndiyo tujue msomi sana au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…