Hashtag # NASIMAMA NA MPINA
TULIA na hilo genge watajwe maadui wa taifa
 
Simama nae salama jombaa 😂,huo ukoo wa panya anatetea fursa,akiteuliwa utakuja humu kutafuta public sympathy 😂
 
Mpina na Charles Taylor kwenye sentesi moja, kweli? Aidha humjui Charles Taylor au unaongeza chumvi ya kupitiliza.
Ila kwa sehemu kubwa unathibitisha ni jinsi gani usivyo jitambua.
Mama yako akinitambua inatosha
 
Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.

Hata shetani alikuwa malaika mkuu. Je, tuendelee kuheshimu asili yake (alipokuwa malaika) ama tumhukumu kwa kazi zake za sasa?
Anatafuta uteuzi hana jipya 😂
 
Sasa acheni kulialia spika anaposimamia kanuni na sheria za bunge. Unawasilisha ushahidi halafu unauanika kwenye vyombo vya habari ili upate huruma? Acha aya

Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.

Hata shetani alikuwa malaika mkuu. Je, tuendelee kuheshimu asili yake (alipokuwa malaika) ama tumhukumu kwa kazi zake za sasa?

Akili kubwa sana
 
 
Mpina alikuwa na hoja nzuri tu ila amekiuka taratibu za bunge.....huwenda kwa kutokujua, au alijua ila alitaka kutafuta upepo wa kisiasa au sababu yoyote nyingine iwezekanayo...lakini all in all amekiuka utaratibu hivyo ni sahihi spika kuamua kumpeleka kwa kamati za maadili.Uzuri ni kwamba hata hiyo ripoti yake ya ushahidi still itajadiliwa(haijasitishwa) kama kawaida kwa mujibu wa taratibu za bunge.
NB: Lengo halihalalishi njia(Sio kwa kuwa una lengo zuri sasa ndo iwe halali kutumia njia yoyote ile litimie(fuata taratibu ) KWA HILI SPIKA YUPO SAWA
 
Aseme kwanza malizetu za uvuvi alizo kwapua kwakisingizio cha uvuvi haram zipowapi atarudisha lini? Ndio nitamuelewa shetani hawezi kuwa naimani kaziyake nikupotosha tu alafu mkumbuke magu alimwita kichaa ,anaemuamini kichaa nayeye ni ............
Nyie mnatakiwa mnyongwe kabisa mmefanya mpaka sasa samaki ni adim na bei aghali kwa uvuvi wenu wa kishenzi mpaka mnapiga mabomu harafu hata aibu huoni unataka urudishiwe nyavu na mabomu yenu shwain kabisa.
 
Tuache ushabiki, je amepeleka ushahidi kama ambavyo ilihitajika? Kumbukeni hii sio awamu ya kuropoka ropoka bila data na supporting documents. Siasa za uzushi hazina nafasi
Mkuu hujaziona? Amepeleka ila kosa lake kabla Spika na Kamati hawajapitia ushahidi wake yeye akawa ameusambaza kwenye mitandao ya kijamii! Hii haikubaliki kwa watu waliostaarabika!
 
Wananchi hatuna uwezo wa kuikaripia serikali kwakuwa tuu waoga saana
 
Watanzania
Mambo mazuri ni gharama
Mnataka mambo mazuri kwa kuongea ongea tu lazima muwe tayari kulipa gharama
Alafu jambo la kufurahisha ni kwamba hao wanaotuburuza ni waoga mara elfu moja kuliko mnavyofikiria haihitajiki hata nguvu nyingi ni umoja tu ndiyo kitu kinachohitajika


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
SI
Mkuu kawashuka pabaya kivipi ila hali wao wameshikilia mpini??? Au siku hizi kwenye makali amekuwa pazuri??? 🤣 🤣 🤣

⚖️4Asimwe#
SI unaona anatoa hadharani mambo Yao ya kifarauni wanayofanyia gizani huko ndio kuwashika vibaya.
 
Tuache ushabiki, je amepeleka ushahidi kama ambavyo ilihitajika? Kumbukeni hii sio awamu ya kuropoka ropoka bila data na supporting documents. Siasa za uzushi hazina nafasi
Sio ushabiki na usijitoe ufahamu mkuu ushahidi hata hapa jana uliwekwa neno kwa neno na kwa uwazi kabisa lakini cha ajabu mtu anaonekana karopoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…