Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Sure - But also you don't realise what you don't have until you get it!You don't realize what you have till it's gone.
Mwisho wa siku ubabe humtokea puani anayeuendekeza!Ubabe ni mzuri sana kuliko Katiba na sheria
Umesema vizuri sana shida ni kwamba umesema bado upo ccm?Inasikitisha sana sana. Kuanzia Mkulu wa Nchi, Spika, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Sirikali, Mkuchika wa Utumishi, Waziri anayehusika na masuala ya kazi. Hawa wote wamejaa ukomoaji. Wanaendesha uongozi wa ki-imla. Wakati Mkulu akidai ananyoosha nchi wananchi wananyanyasika hasa.
Hawa wengine kwenye maeneo yao watu wao wananyanyasika bila kikomo. Sijawasahau Polisi na yule sijui Mkurugenzi wa Mashtaka. Ukweli hata sisi tulio kijijini tunaona mnavyonyanyasa watu kwa mgongo wa kwamba mnaleta ukombozi wa kiuchumi. Muda ni Jaji mzuri kuliko Prof. Ibrahim Juma. Leo nyie kesho wengine!
ccm by birthUmesema vizuri sana shida ni kwamba umesema bado upo ccm?
Kuwa CCM sio kosa - makosa yanasababishwa na wanaCCM lakini sio wote!Umesema vizuri sana shida ni kwamba umesema bado upo ccm?
Kwa sababu umeshindwa maisha yako binafsi ya kuchuma kile usichofanyia kazi.Nchi kwa sasa ni mali binafsi ya mtu.
Ipo ingawa bein ndiyo hiyo huku Idukilo Shinyanga dukani mwangu kilo moja nauza 3,500/Nasikia Sukari ipo
Tajiri!Kwa sababu umeshindwa maisha yako binafsi ya kuchuma kile usichofanyia kazi.
Ametimiza Siku 46 toka alivohamisha "IKULU" Chato. Soon afanyiwe besidei.
Mkapa angehamisha ikulu mtwara, basi angetolewa maneno mpaka ya nguoni.
Kama wewe ni tajiri unalialia nini?Tajiri!
Nakuchora tu unavyoshindwa kukontroo bei ya sukariChadema Lazima mtie adabu
Tajiri wewe Ole!Kama wewe ni tajiri unalialia nini?