Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
- Thread starter
- #21
Sukari ipo ila ina propoganda ndani yake!Nakuchora tu unavyoshindwa kukontroo bei ya sukari
Sukari ipo ila ina propoganda ndani yake!Nakuchora tu unavyoshindwa kukontroo bei ya sukari
Hiyo bei ya april watu tunapigwa 5000/= halafu unauziwa kwa mtindo wa maduka ya ushirika (ugawaji) ......enzi za NyerereIpo ingawa bein ndiyo hiyo huku Idukilo Shinyanga dukani mwangu kilo moja nauza 3,500/
Ametimiza Siku 46 toka alivohamisha "IKULU" Chato. Soon afanyiwe besidei.
Mkapa angehamisha ikulu mtwara, basi angetolewa maneno mpaka ya nguoni.
Ni kweli wameanza kutia adabu.Si umesikia huko Morogoro Chadema wameanza kununua sukari kwa foleni wakati CCM wanapelekewa mpaka sebuleni?Chadema Lazima mtie adabu
A windfall may be! Gone are those days!Sure - But also you don't realise what you don't have until you get it!
Naona wanafisiem wote mmekua matajiri awamu hii ya maziwa na asaliChadema Lazima mtie adabu
Mpashe asikie.Ni kweli wameanza kutia adabu.Si umesikia huko Morogoro Chadema wameanza kununua sukari kwa foleni wakati CCM wanapelekewa mpaka sebuleni?
Sent using Jamii Forums mobile app
akisikia inakuwaje?Mpashe asikie.
Nchi kwa sasa ni mali binafsi ya mtu.
Kuna wakati pia naona huruma na kuwaza sana ni kitu gani kimsibu Mkulu wa Nyumba yetu?! Siku 46 Chato kwa kweli sio kawaida kabisa!Yajayo yanasikitisha... Tafakari chukua hatua
Mi siyo omba omba kama wewe, babu mzima tangu 2006 upo humu hakuna la maana hata moja uliowahi kufanya, mpaka sasa unaishi kwa shemeji yako.Kwa sababu umeshindwa maisha yako binafsi ya kuchuma kile usichofanyia kazi.
Inawezekana kuna kaukweli!Mi siyo omba omba kama wewe, babu mzima tangu 2006 upo humu hakuna la maana hata moja uliowahi kufanya, mpaka sasa unaishi kwa shemeji yako.
Mama yako kwani ni chadema, mbona anakamulia miwa kwenye chai kwa kukosa sukari?Chadema Lazima mtie adabu
Mkapa ndio yard stick yako?
Sasa akina mama wanaingiaje hapa?Hapana, mama yako.