KERO Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

KERO Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwenye nchi zote za wenzetu ambazo nimewahi kuzuru nimeona hali iko hivyo, Wala siyo mawazo au mapendekezo yangu Kama unavyofikiri.
Reli ya treni za mwendokasi kwenye maeneo ya mijini au kwenye msongamano wa Watu na Makazi aidha inapita juu kwenye Madaraja (Overhead Railroads) au inapita chini ya Ardhi kwenye Mahandaki (Underground Railroads), Wala haipiti juu kwenye usawa wa Ardhi (Surface Railroads).
Acha fix wewe. Umetembea nchi zote? London high speed train zinapita chini kama kawaida. Treni zinapita ardhini zinaingia Paddington station Victoria Station Euston etc. Watz wavivu mtu anataka avukie hapo hdpo alipo. Huwezi kuweka kivuko kila nyumba.
 
Back
Top Bottom