Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

Linapokuja suala utambulisho na ushereheshaji kwenye hayo matamasha, tukubali tu ukweli; Haji Sunday Manara hana mpinzani ndani hii nchi. Na hapa ni tangu alipokuwa yupo Simba.
 
Muombe ngedere na Bundi waingilie mfumo, ila Manara haipukiki, na ataendelea kuwapiga mulemule kwenye mshono😀😀
 
Wanathimbaaaaaa🗣️🗣️

Watu "Eeeeeeehhhhhhhhhh🗣️🗣️"
 
Una kadi ya uana chama au ndio nyinyi watoto wa mikoani?
 
Linapokuja suala utambulisho na ushereheshaji kwenye hayo matamasha, tukubali tu ukweli; Haji Sunday Manara hana mpinzani ndani hii nchi. Na hapa ni tangu alipokuwa yupo Simba.
Toka Haji arudi, nimesikiliza baadhi ya clips zake, mbali na changamoto ambazo anazo ila kwenye suala la uhamasishaji, usemaji, influence n.k Haji Manara bado yupo mbali.

Sidhani kama GSM na timu yake wamekurupuka kumuacha jamaa aendelee na kazi hiyo, waliona Ally Kamwe bado hajafit maeneo fulani.
 
🤔 kwani hao mliowataja ni waajiliwa wa Yanga.

Acheni kila mtu acheze pati yake.
Au Kuna jingine.
 
Manara amesema tarehe 4 akiwa anaita wachezaji hataki kuona stewards wamezunguka jukwaa. 😄

Utopoloni shughuli imeanza.
 
uneducated fo*l can't help yanga at this stage

manara akifukuzwa atawatukana yanga sana. not a good person.
Ana mchango wake mkuu
Ligi yetu inamuhutaj mtu kama yule......
Wakifanya Kaz Kwa ushrikiano yanga itasimama maradufu
 
Back
Top Bottom